Mwijaku na Baba Levo wanapata utajiri kwa kujifanya wajinga, huku Wasomi wanalia njaa

Wako wapi hao vijana?
 
Usisahau yule aliyezima data akaenda kuibukia jalalani
 
Kuna mmoja alijizima data na kusema pamoja na uprof wake lakini kaokotwa majalalani wakaanza kumshambulia... Binadam hawana jema kabisa
 
Smart don't make much in life
 
Kwani mwijaku sio graduate?
 
Kuna mmoja alijizima data na kusema pamoja na uprof wake lakini kaokotwa majalalani wakaanza kumshambulia... Binadam hawana jema kabisa
Kuna yule mwingine alikuwa mkuu wa Mkoa Morogoro...alivyotumbuliwa akazima data na kuanza kujitetea kuwa nimekosa mie! nimekosa mie! weeeeeh! wananzengo walivyomshukia we acha tu!
 
Nimecheka mbavu cna woiiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na yote, utu ni muhimu kuliko pesa na pia kila mtu anatafsiri utajiri kwa namna yake. Mbona wasomi wengi tuna utajiri na maisha yanaendelea sio mpaka ujidharirishe.
 
Kesho ukiskia wamepakwa kulainisha kisa kuzima data, Rudi usifie tena
Wapakwe Mara ngapi mkuu

Kaz.kubwa waliyonayo kwa Sasa n kubana vijambio vyao kinyesi kisitoke nje n Kaz ngumu Sana wanayo kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…