Narudia tena we fala wewe sasa ndo hujaelewa unajifanya mjuaji,tittle ya thread inasema Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto,inajulikana wazi kwamba Billnas ana mtoto na mobeto lakini kwanini Mwijaku kasema Nandy ndo amchukue mtoto na sio Billnass!!?? Sasa jibu ni hivi siku zote Mwijaku anasema Billnass analelewa na Nandy hivyo hatakuwa na uwezo wa kumlea huyo mtoto thus why amemtaka Nandy(anayemlea Billnass) akamchukue mtoto amtunze na sio Billnass(anayedai analelewa na Nandy) hivi ulikunywa chai kweli!? Leo ndo nimeamin humu jf kuna watu huwa wanaamka na stress wallah