Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto

Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto

Hapana Mwijaku anamaanisha kwamba Nandy ndo kama Baba wa familia kwa maana majukumu yote ya familia kayabeb yeye ya kwamba Billnass analelewa,So anamtaka Nandy akamchukue mtoto anayedaiwa wa Billnass kwa maana yeye ndiye atakayehusika katika matunzo
Kwa Kweli Sasa umenifungua vyema ,kumbe mondi alishikishwa mimba

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena we fala wewe sasa ndo hujaelewa unajifanya mjuaji,tittle ya thread inasema Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto,inajulikana wazi kwamba Billnas ana mtoto na mobeto lakini kwanini Mwijaku kasema Nandy ndo amchukue mtoto na sio Billnass!!?? Sasa jibu ni hivi siku zote Mwijaku anasema Billnass analelewa na Nandy hivyo hatakuwa na uwezo wa kumlea huyo mtoto thus why amemtaka Nandy(anayemlea Billnass) akamchukue mtoto amtunze na sio Billnass(anayedai analelewa na Nandy) hivi ulikunywa chai kweli!? Leo ndo nimeamin humu jf kuna watu huwa wanaamka na stress wallah
Babu huna baya [emoji23]umefafanua vyema bas. Kwa hbr za mastaa was bongo nitakuwa nakufata dm unipasshe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wasanii kwa ku-fake maisha, alafu eti kuna mtu anaenda kuficha 'siri' na Mwijaku. Bongo bhana.
 
BiliNandy na mobetto wamezaa lini.!?

Inawezekana Niko bize sana na maisha yangu. Matukio yananipita.
 
Kwel maisha ni kugawana majukum ili kubalance ecosystem ya uchumi maana muda huu wanaume wa kazi wako na miradi chaka huko wanapiga mihela af wengine wako nyuma ya mic wanaongea umbea umbea tena wanawaongelea wanawake
 
Back
Top Bottom