Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

Kwenye cryogenics yako mambo mengi ambayo yatawezekana kufanyikiwa miaka ijayo. Kuna utaalumu mwingine pia ambayo basis yake ni kwmaba hasa magonjwa yote ni kazi ya mwili kutoa uharibifu wowote kwenye mwili. Madaktari yanayofanya ni kusaidia mwili kurudi kwenye hali ya afya nzuri tena. Ila wanaofanya ni reductionist process ya kumpa dawa ambayo inakuwa processed na liver kutoa nje. Basis ya kutiba hasa yanatakiwa kuwa holistic, yaani kutiba mwili zima. Nikipakaa Vicks au Iodex kwenye mwili popote, mwili nzima inatibiwa na sio sehemu niliyopaka peke yake. Dr. Hegde daktari bingwa wa India anasema kwamba matibabu siku za mbele yatatumia madawa machache sana na badala yake yatatumia mechanism ya mwili kutibu. Basis ya matibabu haya ni upenzi wa matrilioni cells za mwili ambazo ni property zao kusaidiana. Cryogenics bila machine pia ipo. Mtu anweza kwenda kwenye samadhi kwa muda mrefu sana. Na kwenye muda huo mwili wake ni kama kwenye cryogenic machine. Mummy kwenye pyramids pia ni process ya cryogenics.
 
fact lakini hayo maarifa waliyonayo yatafufua mwili wakina adam pi waliambiwa watakufa tu yote hayo ni maandiko kama hayo yako uliyoyatoa

Mpaka hapo hicho Kitabu kimesha jichanganya ,sasa ni kwa nini usiamini lolote linaweza kutokea ?
 
Kureverse umri!? Hii imekaa poa sana! Would like to reverse my age and stay at 25 years old every now and then
 
Ndio lakini hawezi kuhimili muda mrefu kwakuwa roho ikiutoka mwili kamwe hairudi
kuhimili muda mrefu hapo sijakuelewa sana kidogo kichwa changu jiwe au unamaanisha aliyefufuliwa atakufa mapema au?

mshana pia mbona viongozi wa kilozi na walozi wa kawaida wanakufa na hawafufuani kama wangekuwa na huo uwezo wa kumfufua mtu asiyekufa kichawi?
 
Nazungumzia zile za kisanii kama yule nabii aliyetaka kumfufua kanumba
 
Nazungumzia zile za kisanii kama yule nabii aliyetaka kumfufua kanumba
hapa sasa hawa majamaa hawafanyi ulozi wanafufua kwa njia ya kueleweka ambayo inaweza kufanywa mahospitalini mfano wamefufua figo ilyokufa , baadhi ya wadudu , pamoja na mbwa ila kumfufua mwanadamu bado haijaripotiwa
 
They are mortals like that dead body... They are just wasting time and misusing the funds
 
Hayo ndio maisha yenyewe, namaanisha UZIMA, zawadi pekee ya thamani tunayopewa na Mungu.
Uhai unapotoweka ndio mauti hutokea.

Ni kwa nini Uhai iwe ni Zawadi kutoka kwa Mungu ?

Kwani kabla ya Mungu kutupa hiyo Zawadi(Uhai) tulikuwa wapi ?

Uhai una shikika ?..
 
do you believe that a human being has a soul?
The dog was raised up, why does man not get resurrected?
Kuna uhai for all living beings n that is universal... Lakini kuna utashi... Si kila chenye uhai kina utashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…