Ramesh Topiwalla
Member
- Feb 21, 2016
- 86
- 32
Kwenye cryogenics yako mambo mengi ambayo yatawezekana kufanyikiwa miaka ijayo. Kuna utaalumu mwingine pia ambayo basis yake ni kwmaba hasa magonjwa yote ni kazi ya mwili kutoa uharibifu wowote kwenye mwili. Madaktari yanayofanya ni kusaidia mwili kurudi kwenye hali ya afya nzuri tena. Ila wanaofanya ni reductionist process ya kumpa dawa ambayo inakuwa processed na liver kutoa nje. Basis ya kutiba hasa yanatakiwa kuwa holistic, yaani kutiba mwili zima. Nikipakaa Vicks au Iodex kwenye mwili popote, mwili nzima inatibiwa na sio sehemu niliyopaka peke yake. Dr. Hegde daktari bingwa wa India anasema kwamba matibabu siku za mbele yatatumia madawa machache sana na badala yake yatatumia mechanism ya mwili kutibu. Basis ya matibabu haya ni upenzi wa matrilioni cells za mwili ambazo ni property zao kusaidiana. Cryogenics bila machine pia ipo. Mtu anweza kwenda kwenye samadhi kwa muda mrefu sana. Na kwenye muda huo mwili wake ni kama kwenye cryogenic machine. Mummy kwenye pyramids pia ni process ya cryogenics.