faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,719
fact ila hapo kuna wanadamu wakorofi huwa wanachokonoaUkweli ni kwamba kurudisha uhai wa binadam hyo ni ngumu. Ila katika hizo harakati zao wanaweza kuvumbua vitu vingine vikawa msaada kwa afya ya binadam. Swala la. Uhai wa binadam ni Mungu tu. This is the turning point for scientists it is beyond their scope of thinking
Then Kwanini asijirudishe yeye?Pumzika kwa amani mwanasayansi wangu VICTOR FRANKEINSTEIN hakika wewe ndio uliweza kurudisha uhai wa mwanadamu lakini sio haa wengine wanaotafuta kiki.
kuna wimbo mmoja wa KYGO FT SELENA GOMEZ-IT AIN'T ME ..utafute huo wimbo wamejaribu kuonesha life after death inakuwaje kwa mtu aliyekufa...yani subconcious mind yake inakuwa haiwez kurudi tena but inakuwa inatambua kila mnachofanya juu ya ule mwili..ujue wakati wmingine these people are trying to reveal the truth but under hidden codes through music industry...utafute huo wimbo halafu utajua manake ...ila hiyo astral projection kuna walozi humuhumu jf wanafanya na kuna uzi humu niliusoma nikahisi ndio kisukari na kifo kinataka kupita na mimi
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)kuna wimbo mmoja wa KYGO FT SELENA GOMEZ-IT AIN'T ME ..utafute huo wimbo wamejaribu kuonesha life after death inakuwaje kwa mtu aliyekufa...yani subconcious mind yake inakuwa haiwez kurudi tena but inakuwa inatambua kila mnachofanya juu ya ule mwili..ujue wakati wmingine these people are trying to reveal the truth but under hidden codes through music industry...utafute huo wimbo halafu utajua manake ...
[emoji16][emoji16] movie zinawadanganya watu kuna movie ya Victor frankeinstenalirudisha mwili wa nani?
daah mzee baba hebu fungua uzi utujuze mengi zaidi.ninachojua ni kwamba ,kuna system mbili zinazoprocess human body function..nazo ni conciou mind system na subconcious mind system,so inasemekana kuwa mtu unapokuwa usingizini au umekufa sytem moja huwa inacease ambayo ni concious mind sytsem ila subconcious mind inabaki active kucontrol basal rate ya mwili wako na ndo system inayohusishwa na mambo ya astral projetion mechanism,,inshort mtu ukifa subconcious mind huwa inahamia plane nyinine ya life[it is belived that when somebody dies the subconcious mind that harbours soul shifts to another plane of reality inabaki inahangaika but finally landers to its fiting plane depending the conciousness you had before death....somo hili ni gumu kidgo linahitaji discussion flani hivi,,but kwa kifupi tafiti zimeshafanyika za kushunt back subconcious mind ya mtu aliyefariki kwa kudetect life path ya huyo mtu
ha ha ha nilishaupitia,,,watabe wamo humu humuJinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
sawa pita na huko ukutane na hao walozi nilikuambia wapo hapa jf mimi ninachojiuliza kama huo mwili ukifufuliwa utakuwa na nafsi ya aliyekuwa anautumia mwanzo?
everyday day of your life is the part of learning.....dunia ina mambo mengi kuna kipindi unaweza fuatilia kitu ukapata information juu ya jambo flani ukazani umeijua wew kumbe watu wapo dee juu ya hilo ila wapo kimya..but keep sharing ideas increases your awareness,,ukitaka kujua mengi toa uliyonayo utaona watu wakileta zaidi ya uliyonayo kichwani... kiukweli JF ni kisima cha mambo mengi ,,sometimes i call it the area of collective awaresnessndio hivyo jf hukosi kitu ila mkuu naona upo deep sana ungetushushia nondo c unajua huku jf sisi tumekujaga kugain some thing
Bonge la moviePumzika kwa amani mwanasayansi wangu VICTOR FRANKEINSTEIN hakika wewe ndio uliweza kurudisha uhai wa mwanadamu lakini sio haa wengine wanaotafuta kiki.
nimepita huko mzee mpaka naogopa kulala duhJinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
sawa pita na huko ukutane na hao walozi nilikuambia wapo hapa jf mimi ninachojiuliza kama huo mwili ukifufuliwa utakuwa na nafsi ya aliyekuwa anautumia mwanzo?
Mtesaji wa maiti,alikuwa anawapiga short ya umeme sehemu za haja kubwaPumzika kwa amani mwanasayansi wangu VICTOR FRANKEINSTEIN hakika wewe ndio uliweza kurudisha uhai wa mwanadamu lakini sio haa wengine wanaotafuta kiki.
Alifanyaje?Pumzika kwa amani mwanasayansi wangu VICTOR FRANKEINSTEIN hakika wewe ndio uliweza kurudisha uhai wa mwanadamu lakini sio haa wengine wanaotafuta kiki.
Jiwealirudisha mwili wa nani?
Kwahiyo ulitaka hajitengeneze mwenyewe?Mbona yeye kafa?!