Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Point unazo wewe kwani hata kama umemtoa mtu kimaisha ni lazima uwe msibani kwake. Msipende kuwa wasemaji wa Misiba.Maswali yako hayana point kabisa,
Halafu kwani hapa ni Mahakanani?
Wewe umejibu?
Au umeelezea historia ya jina la masogange?
Miandishi yoote myekundu Kumbe nawe huna jibu
Nilijua tu lazima mnaojifanya mnajua sana kukosoa mjee karibuni sasa.wabongo bhana shida tupu.
USIWAONE WAZURI,Point unazo wewe kwani hata kama umemtoa mtu kimaisha ni lazima uwe msibani kwake. Msipende kuwa wasemaji wa Misiba.
Kidato cha pili? itakuwa mimba ya huyo mtoto wake nini?BABA mzazi wa Agnes Masogange anayeitwa, Gerald Waya amesema, mwanaye alikuwa nguzo katika maisha yao na kifo chake ni pigo kubwa kwake na familia kwa ujumla.
Waya amezungumza na MCL Digital nyumbani kwake Mbalizi wilayani Mbeya, leo Jumapili na kusema,
Masogange ni mtoto wanne katika familia yake ya watoto sita ambapo wakike ni watano.
Amesema, Masogange amesoma Shule ya Msingi Utengule-Mbalizi na Sekondari ya Sangu akaishia kidato cha pili.
Waya amesema Masogange alipata matatizo hivyo akalazimika kuacha shule. Hata hivyo amesema hataki kuzungumzia mambo mabaya wakati huu anapoomboleza kifo cha mwanaye.
“Aliishia form two (kidato cha pili), akapata matatizo ikabidi aache shule. Tulikosana kidogo lakini tukayamaliza yeye akaenda Dar es Salaam,” amesema.
Waya amesema, “Mwanangu alikuwa nguvu kwangu, alikarabati nyumba hii ninayoishi kwa sasa na nilikuwa nafarijika sana, lakini leo kusikia msiba huu kwa kweli inaniuma sana.”
Amesema Masogange alimpigia simu, “Tukaongea naye akaniambia ‘mimi baba ninaumwa’.Nikamuuliza nini tatizo akasema, “aah! baba niombee tu kwa Mungu’. Na Jumamosi iliyopita nilimpigia simu wakati yupo hospitali kujua maendeleo yake lakini akaniambia ‘baba byee’. Nikaanza kulia, na hapo sikuwasiliana naye tena hadi nilipopata taarifa za kifo chake,”amesema.
Mkuu wewe umehudhuria??kwa swali hili nauhakika hujaudhuria na huenda sababu iliyokufanya usihudhurie ndo imemfanya pia na yeye asihudhurie
Humu kuna wa darasa la tatu D ambao hawakufikia darasa la hesabu za masaa 24😀Unajua kusoma saa kwa masaa 24 usiniambie kama hujafika hata la Tatu C
wewe ulitakaje sasa?Mkuu mimi sijahudhuria kwa sababu nipo nje ya dsm sasa hali inayinishangaza simuona kabisa belle 9 kwenye social networks zozote ilihali yeye ndiyo aliyempa umaarufu masogange kiufupi nimeishia kuwaona kiba, mondi, shamsa na wengine kibao
Kuuliza sio ujinga wakuu
HUU NDO UCHOCHEZWakuu mlioko dsm na vitongoji vyake na hata wale walioudhuria msiba wa mrembo masogange nilikuwa naomba kufahamishwa kama msanii wa bongo fleva Belle 9 alihudhuria kwenye msiba wa masogange
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Miandishi yoote myekundu Kumbe nawe huna jibu
Kidato cha pili? itakuwa mimba ya huyo mtoto wake nini?
Kabisa. Watu wengi tunamjudge kwa mavazi yake aliyokuwa anavaa lakini alikuwa binti mwenye nidhamu sana hakuwa na mabifu ya ajabu ajabu alikuwa mkimya sana.Sema Agness anaonekana alikuwa mtu poa sana,japo sikuwahi kuonana nae
Yaani huyu le mutuz kama mtoto wa miaka 17.....
Inasikitisha ila huo ndio mwisho wa kila kiumbe chenye uhai,
R.I.P Agnes.
Kabisa,alikuwa poa sana,mkimyaKabisa. Watu wengi tunamjudge kwa mavazi yake aliyokuwa anavaa lakini alikuwa binti mwenye nidhamu sana hakuwa na mabifu ya ajabu ajabu alikuwa mkimya sana.