Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Libayaaaa, Cheki vinywele kama vya yule mwigizaji wa Filamu ya God's Must be Crazy. Miguu ina madoa madoa kama tumbo la mamba.

Vidole vya miguu vibaya kama mdomo wa kuku Kuchi.
 
Hakuna camera 360 wala photoshop hapa mkuu
 
Hakuna mwenye historia yake aweke hapa?
 
Libayaaaa, Cheki vinywele kama vya yule mwigizaji wa Filamu ya God's Must be Crazy. Miguu ina madoa madoa kama tumbo la mamba.

Vidole vya miguu vibaya kama mdomo wa kuku Kuchi.
Mkuu alikukataa nini mbona unamnanga sana,

Sura yake inaonesha ni mwenye huzuni nyingi, hiyo vazi tu na hajavunja sheria za nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…