PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Pole kwa wafiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna camera 360 wala photoshop hapa mkuuMarehemu kazaliwa utengule karibu kabisa na kiwanda chetu cha nyama kijulikanacho kama Tanganyika parkers pia ni jirani wa ndugu yetu kmjenzi wa nyumba 75 aliekua mkurugenz TRA alietumbuliwa na magufuli si mbali sana kutok katikati mwa mji wa mbeya nauli mpaka nyumbani kwao ni shilingi buku mpaka mlangoni ukitokea mbeya mjini sehemu ikiwa na mazingira halisi ya ukijani
They can't be serious!
Huyo dada amezma kama mshumaa,ameacha maswali mengi vichwani mwa washtukao na kufikwa.
Aisee hv hawa ni madansa!!?
Mkuu alikukataa nini mbona unamnanga sana,Libayaaaa, Cheki vinywele kama vya yule mwigizaji wa Filamu ya God's Must be Crazy. Miguu ina madoa madoa kama tumbo la mamba.
Vidole vya miguu vibaya kama mdomo wa kuku Kuchi.
Hiki Kigongo cha kushoto ni Kipi?
Aisee hv hawa ni madansa!!?
Hiki Kigongo cha kushoto ni Kipi?
Huyo dada amezma kama mshumaa,ameacha maswali mengi vichwani mwa washtukao na kufikwa.
sio msafwa mnyakyusa kabisaMsafwa wa Mbeya, wasafwa ni kabila la milimani Mbeya vijijini
Kipumbavu sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah kweli naomba RC awapime Tezi Dume inaonekana kuna tezi mwilini haiko sawa.Kinaitwa mr oversize