Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatisha sana walahi! AsalaleeView attachment 753339
I ain't cry for this bi-tc-h!!!she used to sale crack to our kids!! Rih bitch!!!
Weka Picha kwao Mzee,vip akija huko bush ule mzigo akija nao madaraja hayapasuki huko,au ardhi kutitia maana huku mjini akipita ni mafuriko sijui huko bush,haki Mungu asingewachukua wenye faida duniani.Marehemu kazaliwa utengule karibu kabisa na kiwanda chetu cha nyama kijulikanacho kama Tanganyika parkers pia ni jirani wa ndugu yetu kmjenzi wa nyumba 75 aliekua mkurugenz TRA alietumbuliwa na magufuli si mbali sana kutok katikati mwa mji wa mbeya nauli mpaka nyumbani kwao ni shilingi buku mpaka mlangoni ukitokea mbeya mjini sehemu ikiwa na mazingira halisi ya ukijani
SafiMwenyekiti Wa UVCCM Taifa Ndugu Kheri Denis James Leo Aprili 22, 2018 Ameungana Na Familia, Ndugu, Jamaa Na Marafiki Katika Kuaga Mwili Wa Msanii Maarufu Nchini Bi. Agnes Gerald (Masogange) Katika Viwanja Vya Leaders Club Jijini Dar Es Salaam.View attachment 753265View attachment 753266
Mkuu inawezekana ni msafwa.Agnes Gerald Waya.sio msafwa mnyakyusa kabisa
No hypocrisy!!Unatisha sana walahi! Asalalee
Weka Picha kwao Mzee,vip akija huko bush ule mzigo akija nao madaraja hayapasuki huko,au ardhi kutitia maana huku mjini akipita ni mafuriko sijui huko bush,haki Mungu asingewachukua wenye faida duniani.
Mkuu nimeshapajua japo ni kitambo sn kule.Ukiwa unateremsha na barabara ya Mkwajuni toka mbalizi.Ni upande wa kulia ndo kuna kiwanda hicho japo kilishakufaHakuna camera 360 wala photoshop hapa mkuu
Inaelekea sasa hawa wasanii wetu wanaombea tu misiba itokeeili waende kuigiza live
sio msafwa mnyakyusa kabisa
wanyaki wanajuaga kulia na kuhuzunisha, yaani unaweza lia hata kama msiba si wako. poleni wafiwaHao kina mama wanahuzunisha walahi!
Ehh Maulana Mola wangu tusaidie!
Inawezekana ikawa wanyaki, wasafya, wanyiha hata waandali, tabia zao zinaingiliana sana tuHakuna mnyakyusa anayeitwa Waya.
Dah huku nimewahi pitapita... huko mkwajuni ndio tulikuwa tunapita tuanenda nyumbani ifuko chunya..Masogange anatokea Utengule ya Mbalizi, Njia ya kuelekea Mkwajuni Chunya.
Kwa kweli walahiwanyaki wanajuaga kulia na kuhuzunisha, yaani unaweza lia hata kama msiba si wako. poleni wafiwa
au niseme watu wa mbeya wanalia hao balaaaKwa kweli walahi