Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Binti yake
ad59d7f8-8286-4a48-92d2-21d4cad1bc72-768x576.jpeg
 
Marehemu kazaliwa utengule karibu kabisa na kiwanda chetu cha nyama kijulikanacho kama Tanganyika parkers pia ni jirani wa ndugu yetu kmjenzi wa nyumba 75 aliekua mkurugenz TRA alietumbuliwa na magufuli si mbali sana kutok katikati mwa mji wa mbeya nauli mpaka nyumbani kwao ni shilingi buku mpaka mlangoni ukitokea mbeya mjini sehemu ikiwa na mazingira halisi ya ukijani
Weka Picha kwao Mzee,vip akija huko bush ule mzigo akija nao madaraja hayapasuki huko,au ardhi kutitia maana huku mjini akipita ni mafuriko sijui huko bush,haki Mungu asingewachukua wenye faida duniani.
 
sio msafwa mnyakyusa kabisa
Mkuu inawezekana ni msafwa.Agnes Gerald Waya.

Haya majina ya Waya ni ya wasafwa.,tena utamkaji wake unalivuta Yani (Waaya).



Nimemwona Diamond akimpa mkono Kiba.Kweli matatizo huwapa watu akili.
 
Kwao hapa
30603472_163145797692456_5843073629184589824_n.jpg

Weka Picha kwao Mzee,vip akija huko bush ule mzigo akija nao madaraja hayapasuki huko,au ardhi kutitia maana huku mjini akipita ni mafuriko sijui huko bush,haki Mungu asingewachukua wenye faida duniani.
 
Hakuna camera 360 wala photoshop hapa mkuu
Mkuu nimeshapajua japo ni kitambo sn kule.Ukiwa unateremsha na barabara ya Mkwajuni toka mbalizi.Ni upande wa kulia ndo kuna kiwanda hicho japo kilishakufa
 
Hao kina mama wanahuzunisha walahi!
Ehh Maulana Mola wangu tusaidie!
wanyaki wanajuaga kulia na kuhuzunisha, yaani unaweza lia hata kama msiba si wako. poleni wafiwa
 
Masogange anatokea Utengule ya Mbalizi, Njia ya kuelekea Mkwajuni Chunya.
Dah huku nimewahi pitapita... huko mkwajuni ndio tulikuwa tunapita tuanenda nyumbani ifuko chunya..
 
Wakuu mlioko dsm na vitongoji vyake na hata wale walioudhuria msiba wa mrembo masogange nilikuwa naomba kufahamishwa kama msanii wa bongo fleva Belle 9 alihudhuria kwenye msiba wa masogange
 
Nime msikia baba yake anadai aliongea nae kwa simu dakika za mwisho na binti akamuaga bye bye!! Then simu alipokonywa alafu nduguyake akaanza kulia!! Baadae wakampigia sim wakamwabia ashafariki:

It seems she knew she was dying!

Kwa maelezo ya yule mzeee (baba) there is something wrong with the cause of her death!!!
 
Back
Top Bottom