ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Kwa kweli walahi!Acheni tu.ningepewa ofa na mungu.
Ningechagua nisife milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli walahi!Acheni tu.ningepewa ofa na mungu.
Ningechagua nisife milele.
Inabidi nikubaliane na hali halisi,ila bongo movie kwa show off hajambo,ss huyu huyu jamaa nimemzungushia kimduara hapo amebeba nin au ili na yy aonekane kwenye makameraKweli ni msiban,jamaa anaitwa mr oversize
Inabidi nikubaliane na hali halisi,ila bongo movie kwa show off hajambo,ss huyu huyu jamaa nimemzungushia kimduara hapo amebeba nin au ili na yy aonekane kwenye makameraView attachment 753558
Libayaaaa, Cheki vinywele kama vya yule mwigizaji wa Filamu ya God's Must be Crazy. Miguu ina madoa madoa kama tumbo la mamba.
Vidole vya miguu vibaya kama mdomo wa kuku Kuchi.
Mkuu mimi sijahudhuria kwa sababu nipo nje ya dsm sasa hali inayinishangaza simuona kabisa belle 9 kwenye social networks zozote ilihali yeye ndiyo aliyempa umaarufu masogange kiufupi nimeishia kuwaona kiba, mondi, shamsa na wengine kibaoMkuu wewe umehudhuria??kwa swali hili nauhakika hujaudhuria na huenda sababu iliyokufanya usihudhurie ndo imemfanya pia na yeye asihudhurie
Nimeuliza kwa maana nzuri tu tofauti na ww unavyochukulia negetivelyHakuwepo unataka nini?
duhKwani yule aliye semwa na Wema Sepetu kwamba anamlala alihudhuria? Jamaa kwa kupenda mapichapicha lakini hajahudhuria msibani.. Kulikoni bwana Daudi?
Wewe umejibu?
Au umeelezea historia ya jina la masogange?
Miandishi yoote myekundu Kumbe nawe huna jibu
Mme nichekesha sana dahwabongo bhana shida tupu.
Umesahau ile list ya madawa ya kulevya, sasa naona angesemaje kwenye mic maana lazma angepewa nafasi ya kuongeaMbona RC PAUL MAKONDA hayupo??
Au marehemu hakuwa mkazi wa mkoa wake yaani Dar es Salaam ya Makonda?
R.I.P AGNESS!
hahaaaWewe umejibu?
Au umeelezea historia ya jina la masogange?
Kabeba nywele na miwani yake, Hamjaona Aunt Ezekiel alivyobinua mdomo kama kanywa maziwa ya mende.Inabidi nikubaliane na hali halisi,ila bongo movie kwa show off hajambo,ss huyu huyu jamaa nimemzungushia kimduara hapo amebeba nin au ili na yy aonekane kwenye makameraView attachment 753558
Hapo penye Nyekundu inaonesha Kiswahili chenyewe hukijui halafu unataka kuanzisha ligi, pia waswahili hatuna saa 24 vinginevyo mngeandika Kiingereza tujue moja...Unajua kusoma saa kwa masaa 24 usiniambie kama hujafika hata la Tatu C
Ana miaka mingapi?Binti yake
View attachment 753360
10Ana miaka mingapi?
Yana siri kubwa sana jamaniAisee maisha haya
Hahahhhahah eti la tatu c!!Unajua kusoma saa kwa masaa 24 usiniambie kama hujafika hata la Tatu C
Le kibamia inaonekana ni mgeni rasmi hahahahNimemuona le tumboz kafata nini kwenye high table??
Maswali yako hayana point kabisa,Ni lazima awepo!?