Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
haha yani wewe, Mange mwenzio ana Masters hapo alipo, wewe una nini ?, acheni kuowaita majina mabaya wengine nanyi msiitwe, uko ka jinga flani hivi , hebu pitia comment zako ujione ulivo hayawani.Mange ana akili kukuzidi wewe mpumbavu na ndio maana hata kuandika PhD hujui.
Vutu lako
Mzee Ali Hassan Mwinyi alisema, acha kitabu kizuri ukifa, watu wakisome.Kufa ni kufa tu,
Ubarkiwe mkuu!CCM acheni unafiki Mwele alifukuzwa na bichwa Kama mmbwa,,leo hii mnajitia kusikitika
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Aliwahi kuomba kupendekezwa kama ngombea wa ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya ccm enzi ya rafiki wa baba yake;Jakaya KikweteWewe hovyo kabisa, mange ni mwanaccm?
Mzee malecela ana watoto wangapiHakuwa na mme wala mtoto wa kuzaa mwenyewe. Bali aliadopt watoto watatu na mmoja (Mary)alishatangulia mbele ya haki. Hivyo kaacha watoto wawili.
You will be spared, I guessKumbe kifo ni kwa wote?
Huyo utotoni alikunywa sana mafuta ya taa, ubongo unanuka moshi.Mmh acha ufala, kipi kimefanya uone alikua anaendeshwa na mange? Mwele ndio alikua anamkanya mange mambo mengi tu, hata thats why mengine yaliisha kimya kimya, yule alikua mama yake mlezi wacha upuuzi kuita bogus and yet she was a PhD holder anaetambulika na UN all over the word wakati wewe hapo hata mwenyekiti wako tu wa.mtaa hakufahamu, kati yako na yeye nani bogus? stupid as** Bit*ch[emoji36]
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
wewe utakuwa haupo sawa stress za maisha na chuki binafsi zinakutesa mkuuHuyo mwele hakua smart. Ila wengine walikua smart
Huwezi kuwa smart ukaendeshwa na mange
Mpambe nambari wani mhusika na kutimuliwa Dr Mwele , Ummy Mwalimu, hakuwepo kabisa katika safu ya viongozi.Alijazwa chuki na wapambe ambao wanajulikana.
Na sikuwaona kwenye msiba.
Maisha ni kuchaguaMange anavyompenda huyu mama, ona sasa hawezi kuja Tanzania hata kumzika mtu alompenda maisha yake yote.hiyo ni kwa sababu ya siasa alizozifanya huko nyuma bado zinamwandama.
Jpm ndo alisema alikuwa mbaya wake na sasa hivi JPM hayupo tena ila Mange alivyoulizwa kama atakuja mazishini, alisema haji anaogopa, najiuliza anaogopa nini? Na sifa anazozimimina awamu hii ya utawala bora? angekuja tu?
Nadhani jana mange niliumia sana kuliko siku zote.maana inaonekana kweli walipendana sana ila ndo hiyo aliishia kuona ndege ikipaa.
Ili uwe salama kaa mbali na siasa kufatilia fatilia hawa wanasiasa sio ishu.
Rip mwele.
Hata sisi huwa tunafiwa nawapendwa wamaana Ila hatujitangaaaazi!!Pita kimya kimya tu msiba wa jirani.
Yeye marwhemu Dr alikuwepo kwenye msiba wa marehemu rais Magufuli? Mbali ya Ummy wapo waru wengi tu mashuhuri hapa nchini hawakuwepo, la sivyo masaa machache yaliyotumika kumuaga pale Karimjee yasingetosha.Mpambe nambari wani mhusika na kutimuliwa Dr Mwele , Ummy Mwalimu, hakuwepo kabisa katika safu ya viongozi.
haha fala wewe, Mange mwenzio ana Masters hapo alipo, wewe una nini idiot?, acheni kuowaita majina mabaya wengine nanyi msiitwe, uko ka jinga flani hivi , hebu pitia comment zako ujione ulivo hayawani.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
haha fala wewe, Mange mwenzio ana Masters hapo alipo, wewe una nini idiot?, acheni kuowaita majina mabaya wengine nanyi msiitwe, uko ka jinga flani hivi , hebu pitia comment zako ujione ulivo hayawani.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Nyie tutawachapa ba. humu, hatutaki matusi, la sivyo chukueni majembe nenda shambani. Nsichukulie msiba wa marehemu ambaye hata siyo ndugu yenu kuwa kijiwe cha kamari hapa!Huzuni kwako mpumbavu mkubwa wewe. Unalazimisha kila mtu awe na huzuni, huna akili
Itakua hakuishi na Baba yake tokea utotoni ndo maana watoto wa ndoa wa malecela wapo na positions kubwa kielimu kimaisha. Sasa akajikuta anakua chawa wa Makonda. Makonda hana cheo Lemutuz anashindwa hata kujipendekeza tena kwa kina Nape maana aliwaona mavi.
Mange ni mwanaccm aliyetumwa kumtukana Magufuli , sasa kama ulikuwa hujui , basi jua kuanzia leo