Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Mange ana akili kukuzidi wewe mpumbavu na ndio maana hata kuandika PhD hujui.
Vutu lako
haha yani wewe, Mange mwenzio ana Masters hapo alipo, wewe una nini ?, acheni kuowaita majina mabaya wengine nanyi msiitwe, uko ka jinga flani hivi , hebu pitia comment zako ujione ulivo hayawani.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Mmh acha ufala, kipi kimefanya uone alikua anaendeshwa na mange? Mwele ndio alikua anamkanya mange mambo mengi tu, hata thats why mengine yaliisha kimya kimya, yule alikua mama yake mlezi wacha upuuzi kuita bogus and yet she was a PhD holder anaetambulika na UN all over the word wakati wewe hapo hata mwenyekiti wako tu wa.mtaa hakufahamu, kati yako na yeye nani bogus? stupid as** Bit*ch[emoji36]

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Huyo utotoni alikunywa sana mafuta ya taa, ubongo unanuka moshi.
 
Mange anavyompenda huyu mama, ona sasa hawezi kuja Tanzania hata kumzika mtu alompenda maisha yake yote.hiyo ni kwa sababu ya siasa alizozifanya huko nyuma bado zinamwandama.

Jpm ndo alisema alikuwa mbaya wake na sasa hivi JPM hayupo tena ila Mange alivyoulizwa kama atakuja mazishini, alisema haji anaogopa, najiuliza anaogopa nini? Na sifa anazozimimina awamu hii ya utawala bora? angekuja tu?

Nadhani jana mange niliumia sana kuliko siku zote.maana inaonekana kweli walipendana sana ila ndo hiyo aliishia kuona ndege ikipaa.

Ili uwe salama kaa mbali na siasa kufatilia fatilia hawa wanasiasa sio ishu.
Rip mwele.
Maisha ni kuchagua
 
Poleni wafiwa,
Ila watz wakiwa hai kila mmoja anataka kwenda majuu, bahati mbaya au nzuri umri ukiishia huko kwanini lazima warudishwe wasizikwe huko huko?
 
Mpambe nambari wani mhusika na kutimuliwa Dr Mwele , Ummy Mwalimu, hakuwepo kabisa katika safu ya viongozi.
Yeye marwhemu Dr alikuwepo kwenye msiba wa marehemu rais Magufuli? Mbali ya Ummy wapo waru wengi tu mashuhuri hapa nchini hawakuwepo, la sivyo masaa machache yaliyotumika kumuaga pale Karimjee yasingetosha.
 
Duh! Humu matusi yanarushwa kama mchwa utadhani kila mmoja alikuwa anamfahamu marehemu personally! Kila mmoja humu anataka aonekane kuwa alikuwa anamfahamu sana marehemu kumbe ni kinyume chake! Kutafuta sifa ni kitu kibaya sana, hadi watu wanafyatuana matusi? Moderators mpo wapi kuwachapa pin hum watu wanaofyatua matusi?
haha fala wewe, Mange mwenzio ana Masters hapo alipo, wewe una nini idiot?, acheni kuowaita majina mabaya wengine nanyi msiitwe, uko ka jinga flani hivi , hebu pitia comment zako ujione ulivo hayawani.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Acha matusi kijana, hatutaki matusi humu la sivyo utachapwa ban na moderator humu.
haha fala wewe, Mange mwenzio ana Masters hapo alipo, wewe una nini idiot?, acheni kuowaita majina mabaya wengine nanyi msiitwe, uko ka jinga flani hivi , hebu pitia comment zako ujione ulivo hayawani.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Huzuni kwako mpumbavu mkubwa wewe. Unalazimisha kila mtu awe na huzuni, huna akili
Nyie tutawachapa ba. humu, hatutaki matusi, la sivyo chukueni majembe nenda shambani. Nsichukulie msiba wa marehemu ambaye hata siyo ndugu yenu kuwa kijiwe cha kamari hapa!
 
Itakua hakuishi na Baba yake tokea utotoni ndo maana watoto wa ndoa wa malecela wapo na positions kubwa kielimu kimaisha. Sasa akajikuta anakua chawa wa Makonda. Makonda hana cheo Lemutuz anashindwa hata kujipendekeza tena kwa kina Nape maana aliwaona mavi.

Jambo la msingi ni kuwa na mtazamo mzuri kumuelekea. Maana he is a victim of the situation. Perhaps he never contributed to what he is today.
 
Back
Top Bottom