Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa

Najisemeaga tu nikiwa mwenyewe chumbani, barabarani, njiani, maskan na popote ninapopata kuwaza na kufikilia maisha

Najiambiaga “ mzee ukipata nafasi jilipue yaani fanya kwenye nafasi yeyote ilee usifikilie kufa wala kwenda jela.. kupata ulemavu wala kupotea kabsaa.. ukipata nafasi fanya cha maana 100 percent

Mtu akikuletea mzaha kwenye mali yako, kwa maanao, kwenye heshima.. muonyeshe kama haujapenda ajue kabsa kama haumtaki
 
Bado kuna watu watakuja kutetea hili jambo na pia tunaweza kuambiwa uchunguzi unaonyesha Marehemu alikuwa na madeni.
 
Shida ni moja tu wao wanaamini wakifanya hivi raia wataogopa kumbe ndio kwanza wanaamsha hata wale waoga kugeuka kuwa majasiri
Kabisa,
Majuzi niliona habari eti mwandishi fulani amekamatwa kwa kufadhili Kundi la Ukombozi wa Tanganyika 🤔

Kwa mambo kama hayo Kuna siku wanaweza kukuta hilo Kundi kama kweli lipo linamiliki zaidi ya nusu ya wananchi wote wakitamani kukombolewa..
======================

Inadaiwa Mwandishi wa Habari Aloyce Nyanda amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kufadhili kikundi cha 'Tanganyika Freedom Fighters' | JamiiForums Inadaiwa Mwandishi wa Habari Aloyce Nyanda amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kufadhili kikundi cha 'Tanganyika Freedom Fighters'
 
Mzee Chande anasema watu wanajifanyia wenyewe labda huyo kajichinja na kuficha kichwa chake au ni mapenzi au madeni?
Mzee Chande ndiyo mwenye majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…