Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa

MUSLIMS WORK....Muslims is SHIT.. adriz Malaria 2 Al-mukheef Covax mkuje huku kupongeza kwa kusema tabiriiii
 
Na hapa ndipo tunaona umuhimu kwa serikali kuwa na uwajibikaji, ukweli na uwazi, kujali, kufuata sheria na kuwapa wananchi uhuru wa kujieleza.

Kwa mambo ambayo serikali inafanya ni wazi hivi vitendo lazima tu wananchi wahisi ni wao ndio wanahusika, maana muongo ni muongo tu hata akisema ukweli, imani tena kwa serikali haipo, hapo hata wakane vipi na polisi walete kithibitisho gani hakuna raia ataelewa.

Maana juzi tu hapa kumefanyika utekaji na mauaji halafu ripoti inakuja kutolewa imepikwa na uongo mwingi sana.


Mi mwenyewe naamini hao ni watekaji wale wale waliowateka kina Mdude, Polepole, Soka n.k..

Hata kama wanafanya hivyo kuogopesha watu, wafahamu tu hawaogopeshi watu bali wanawapa watu ujasiri... Maana hapa duniani hatukuja kuishi milele.
 
Sisi kama Taifa tuko mahali pabaya mno bila kujali vyama vyetu hakuna aliye salama.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hata Urusi ya Joseph Stalin haikuwa hivi.

Pumzika kwa amani James Temba,

Waliofanya ubaya huu watalipwa kwa namna yao na Mwenyezi Mungu
 
Kwani ile Yard ya magari ilichomwa lini? Tuanze kukuunganisha dots
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…