Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

Duu! Kwa vitisho hivi bila shaka mkuki umeingia moyoni!
 
Jamaa umempa mkwara mzito kweli kweli.Nafikiri hatarudia tena
Mkwara ni kama yupo nje ya utaratibu wa kisheria,katiba na haji zilizo ainishwa.ila kama ni kinyume na hapo,use kwa vyombo vya maamuzi visivyo zingatia sharia mama.
 
Upo kututishia sio?
 
Utafikiri Una jua lolote kuhusu ICC
Hahahaa
 

Tena kama huyo kamanda namba moja tajwa hapo kaonesha umahiri wa kupigiwa mfano alikuwa akipambana na watu waliojitambulisha na kujisifia ni majasusi wabobezi waliotumika huko nyuma . Unapambana na watu wanaojua idara nje ndani unawatoa knockout si mchezo mchezo. Ogopa sana watu wanaojua mambo halafu hawajisifusifu lazima wa kushangaze na kukuacha mdomo wazi.
 
RPC wa Pemba
Ole sabaya
IGP siro
Chalamila

Wataenda kuelewa kauli zao za ukiandamana unajitafutia shida hutalea watoto ' zilikuwa zinamlenga nani?
Bila kusahau kauli tata ya bi samia
 

Nani kakudanganya ICC imejaa walevi wasiojua wanafanya nini? Kesi kama hizo sio suala rahisi kama mnavyodanganyana. Mligoma kuandamana. Mjue ndio imetoka. Fanya kazi achana na kuota mchana mchana
 
Haya maneno inafaa uwaambie hao makafiri waliokuja kwetu na kutuua
Eti mwili wa polisi umepatikana tangu tar 28 walikua wapi kusema
Endeleeni ipo siku yenu
Mkapa katuua alifikiri atatumaliza Leo yeye ni mzoga tu
 
Mkuu huyo jamaa ana stress za matokeo akiyopata Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…