Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

Mwenzio kajiunga humu siku tano kabla ya uchaguzi lakini pia jali familia yako na shughuli zako si kipindi cha kubishana sana kwa sasa.
Nilidhani kazaliwa siku 5 kabla ya uchaguzi, kumbe ni kujiunga?. Acha wabishane la msingi wawe na facts za ku backup mabishano yao.
 
Maneno ya busara sana na yaliyojaa ushauri mzito.
 
Rejea kesi ya ASP Baganda, kwa nini IGP Mahita hakushitakiwa kwa kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini pale Mabwepande?

Kabla ya kufanya jambo lolote askari mwenyewe lazima ufahamu madhara ya matumizi ya nguvu ktk ground - sasa wapi kati ya hao tuliowataja walipoamrisha askari kufyatua risasi, kupiga watu nk?
Lakin tunakubaliana kwanza kuwa askari walipiga, wakaua, wakateka na kubambikia watu kesi?

Tuanzie hapo kwanza
 
Wanaanza kutengeneza matukio baada ya kusikia kuna ICC??? Waambie wamechelewa sana. Hakuna askari aliyeuwawa Pemba, hayo ni matukio wanayatengeneza.

Pemba majeshi ndo yaliuwa wananchi. Majeshi ya Tanzania ambayo wakuu wake ni Diwani Athumani, SIMON Sirro na Venance Mabeyo, huku amiri jeshi mkuu wao ni John Pombe Magufuli
Wanaleta usanii ndani ya Jumba la sanaa.
 
Wanaanza kutengeneza matukio baada ya kusikia kuna ICC??? Waambie wamechelewa sana. Hakuna askari aliyeuwawa Pemba, hayo ni matukio wanayatengeneza.

Pemba majeshi ndo yaliuwa wananchi. Majeshi ya Tanzania ambayo wakuu wake ni Diwani Athumani, SIMON Sirro na Venance Mabeyo, huku amiri jeshi mkuu wao ni John Pombe Magufuli
Mkuu pole sana maana mlango wa kwenda ikulu kupitia ICC ulishafungwa. Uhuru Kenyatta na Ruto walisingiziwa wakapelekwa huku na wachochezi aibu yao ikawakuta. Leo Kenyatta na Ruto wako ikulu.
 
Kama hajakuelewa basi acha ule msemo wa "asiyesikia la Mkuu huvunjika guu" umpatie fundisho.
 
Huyu aliuliwa na polisi wezake kisha akafukiwa, yaani askali ana AK47 tena ikiwa full magazine eti atekwe na vijana wa mtaani??
 
Rejea kesi ya ASP Baganda, kwa nini IGP Mahita hakushitakiwa kwa kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini pale Mabwepande?

Kabla ya kufanya jambo lolote askari mwenyewe lazima ufahamu madhara ya matumizi ya nguvu ktk ground - sasa wapi kati ya hao tuliowataja walipoamrisha askari kufyatua risasi, kupiga watu nk?
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Kichaka cha kisheria . Lakini ukweli unabaki pale pale askari wetu ni wa kutii . Na haya unayoyasema ni kwa sababu ya mahakama za ki Tz , kwa wenye akili ni tofauti
 
Mkuu jikumbushe
 
Mkuu,

Wewe majibu yako kwenye uzi au mada unazoanzisha inathibitisha pasipo shaka kwamba unachuki binafsi inayofungamana na itikadi yako una chuki iliyo ya wa zi kwa hawa:
1. Diwani Athumani,
2. SIMON Sirro
3. Venance Mabeyo,
4. Amiri jeshi mkuu wao ni John Pombe Magufuli

Sijui kama una kifua cha kupambana nao kwa kutumia hiyo ICC isiyo na mamlaka na tuhuma zako hizo. Tambua wewe sio Roboti unapotumia hicho kibodi cha kinakirishi wakati utambulisho wako wote umeuweka wazi

Kumbuka
1. Hakuna uhuru bila mipaka
2. Hakuna haki bila wajibu
3. Hakuna utu bila uwepo wa watu
4. Hakuna maendeleo bila kufanya kazi kwa bidii na maarifa

Pia Tambua

1. Ukituhumu unawajibika kuthibitisha kwa ushahidi unaokubalika kisheria na katika mamlaka yenye uwezo wa kutoa suluhisho
2. Uksimtendee mtu mwingine jambo ambalo wewe au utaratibu uliowekwa unakataza kutendewa
3. Ukiheshimu mamlaka ya nchi na kiongozi wake unampa wajibu wa kukutendea vivyo hivyo bila kujali nafasi yako katika jamii
Hiki ni kielelezo tosha kuwa mnauwa watu wanaopingana na nyie.

Wapi nilipoweka chuki yangu na hao watu??? Mauaji ya raia Zanzibar yamefanywa na kina nani??? Ni vikosi gani zaidi ya vikosi vya ulinzi na usalama??? Kina Nani ni wakuu wa hivyo vikosi???

Milosevic alivyostakiwa yeye alikuwa nani?? Bosco ntaganda alivyoshtakiwa alikuwa nani??? Lauren Gabgho alivyoshtakiwa alikuwa nani???

Hizo haki bila wajibu ndo zinafanya muue watu??? For your information, you have been watched. Endelea kufikiri hujulikani, haya unayosema yatatumika kama sehemu ya ushahidi dhidi ya hao unaojaribu kuwatetea humu.
 
Jamaa umempa mkwara mzito kweli kweli.Nafikiri hatarudia tena
Huo mkwara mtapeana nyie huko, sio mimi. Na haya aliyoandika hapa yatatumika kama sehemu ya ushahidi dhidi ya hao anaowatetea
 
Hivi huyu ni mmoja wa wale ambao tuliambiwa na Madame VP kuwa wakikulenga shabaha hawapigi risasi zaidi ya mbili au huyu ni jeshi tofauti?
 
Back
Top Bottom