MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Kuna mkwara gani hapo kama si ugoro mtupuJamaa umempa mkwara mzito kweli kweli.Nafikiri hatarudia tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mkwara gani hapo kama si ugoro mtupuJamaa umempa mkwara mzito kweli kweli.Nafikiri hatarudia tena
Usijisahau wewe...kwa comment ni wazi unafurahia kifo Cha Askari huyo...Bila Shaka una vimelea vya ugaidi...Wanaanza kutengeneza matukio baada ya kusikia kuna ICC??? Waambie wamechelewa sana. Hakuna askari aliyeuwawa Pemba, hayo ni matukio wanayatengeneza.
Pemba majeshi ndo yaliuwa wananchi. Majeshi ya Tanzania ambayo wakuu wake ni Diwani Athumani, SIMON Sirro na Venance Mabeyo, huku amiri jeshi mkuu wao ni John Pombe Magufuli
ASP Baganda ndio nani ?Rejea kesi ya ASP Baganda, kwa nini IGP Mahita hakushitakiwa kwa kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini pale Mabwepande?
Kabla ya kufanya jambo lolote askari mwenyewe lazima ufahamu madhara ya matumizi ya nguvu ktk ground - sasa wapi kati ya hao tuliowataja walipoamrisha askari kufyatua risasi, kupiga watu nk?
The ICC haiwezi kuhusu hao uliowataja:-
(a). Wapi walishika silaha na kufyatulia watu na kuwaua?
(b). Lini waliamrisha askari kuua?
(c). ICC watapata ushahidi kwa nani hapa nchini ukiachilia mbali viongozi wa vyama vya siasa?
Nionavyo:-
= CP Diwani Athumani mnamuonea bure kwa sababu ya ukimya wake,
= IGP Simon Sirro mnamtwika zigo lisilomuhusu,
= General Mabeyo mnamulaumu bure, na
= Rais Dkt Magufuli mnamuorodhesha ktk orodha kinafki huku mkijua hakuna alilotenda sababu nae alikuwa mgombea sawa na TL, Rungwe, Lipumba nk
Aaaaaaaah. Usitutishe bhana......Mkuu,
Wewe majibu yako kwenye uzi au mada unazoanzisha inathibitisha pasipo shaka kwamba unachuki binafsi inayofungamana na itikadi yako una chuki iliyo ya wa zi kwa hawa:
1. Diwani Athumani,
2. SIMON Sirro
3. Venance Mabeyo,
4. Amiri jeshi mkuu wao ni John Pombe Magufuli
Sijui kama una kifua cha kupambana nao kwa kutumia hiyo ICC isiyo na mamlaka na tuhuma zako hizo. Tambua wewe sio Roboti unapotumia hicho kibodi cha kinakirishi wakati utambulisho wako wote umeuweka wazi
Kumbuka
1. Hakuna uhuru bila mipaka
2. Hakuna haki bila wajibu
3. Hakuna utu bila uwepo wa watu
4. Hakuna maendeleo bila kufanya kazi kwa bidii na maarifa
Pia Tambua
1. Ukituhumu unawajibika kuthibitisha kwa ushahidi unaokubalika kisheria na katika mamlaka yenye uwezo wa kutoa suluhisho
2. Uksimtendee mtu mwingine jambo ambalo wewe au utaratibu uliowekwa unakataza kutendewa
3. Ukiheshimu mamlaka ya nchi na kiongozi wake unampa wajibu wa kukutendea vivyo hivyo bila kujali nafasi yako katika jamii
Yaani huwa hamulali sababu ya uteuzi - tofauti kbs na ninavyofikiriaASP Baganda ndio nani ?
Yaani ulivyo Kilaza eti na wewe unavizia uteuzi
Hivi kila anayeandika humu akifikiria uteuzi - mteua ana nafasi ngp? Humu ni jukwaa ambamo maisha yake ni give and take (najifunza na kufunza)ww jamaa unafaa kuteuliwa,unajenga hoja vizuri hata kama ni ya tope
ili usimisi connection uweke namba ya simu
Diwani anaheshimika kwakuwa sio mpiga kelele.Tena kama huyo kamanda namba moja tajwa hapo kaonesha umahiri wa kupigiwa mfano alikuwa akipambana na watu waliojitambulisha na kujisifia ni majasusi wabobezi waliotumika huko nyuma . Unapambana na watu wanaojua idara nje ndani unawatoa knockout si mchezo mchezo. Ogopa sana watu wanaojua mambo halafu hawajisifusifu lazima wa kushangaze na kukuacha mdomo wazi.
Wanatafuta ushahidi wa uwongo! Hata hilo jina la polisi hawalisemi vizuri. Hivo kweli auliwe polisi Pemba wakae kimya siku zote hizo?Hii taarifa sijawahi kuiskia, imeibuka leo ghafla.
Kama alitekwa mbona hawakuwahi kusema?
ICC ni Mahakama ya Kimataifa ndugu inayofanya kazi Kwa weledi wote. Hizi figisu za Mahakama zetu za ndani ambazo mara nyingi zinawapendelea wakubwa na familia zao kule hazipo. So usishangae woote hao wakaburutwa ICC.Rejea kesi ya ASP Baganda, kwa nini IGP Mahita hakushitakiwa kwa kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini pale Mabwepande?
Kabla ya kufanya jambo lolote askari mwenyewe lazima ufahamu madhara ya matumizi ya nguvu ktk ground - sasa wapi kati ya hao tuliowataja walipoamrisha askari kufyatua risasi, kupiga watu nk?
Mkwara mbuziJamaa umempa mkwara mzito kweli kweli.Nafikiri hatarudia tena
Mko tayari kwa lolote lipi? Mbeligiji wenu aliwambia mwende barabari ili mtetee ushindi wake aloamini umepolwa na tume mkaogopa,sasa huo utayari unataka wapi? Mkiwa nyuma ya keyboard mnamikwala sana ila linapokuja swala la kuuthibitisha ushujaa wenu hatuwaoni ,why?Mikwara ya nini wewe mfu watu wako tayari kwa lolote acha mikwara mbuzi hata kama wewe mmoja wao
Usiingilie kazi ya mahakama.. Tuhuma zinathibitishwa au kubatilishwa na mahakamaThe ICC haiwezi kuhusu hao uliowataja:-
(a). Wapi walishika silaha na kufyatulia watu na kuwaua?
(b). Lini waliamrisha askari kuua?
(c). ICC watapata ushahidi kwa nani hapa nchini ukiachilia mbali viongozi wa vyama vya siasa?
Nionavyo:-
= CP Diwani Athumani mnamuonea bure kwa sababu ya ukimya wake,
= IGP Simon Sirro mnamtwika zigo lisilomuhusu,
= General Mabeyo mnamulaumu bure, na
= Rais Dkt Magufuli mnamuorodhesha ktk orodha kinafki huku mkijua hakuna alilotenda sababu nae alikuwa mgombea sawa na TL, Rungwe, Lipumba nk
Waanze kujifunza Kingereza cha kujiteteaThe Hague haiepukiki jiandaeni kisaikolojia
Hawana hata aibuWanaanza kutengeneza matukio baada ya kusikia kuna ICC??? Waambie wamechelewa sana. Hakuna askari aliyeuwawa Pemba, hayo ni matukio wanayatengeneza.
Pemba majeshi ndo yaliuwa wananchi. Majeshi ya Tanzania ambayo wakuu wake ni Diwani Athumani, SIMON Sirro na Venance Mabeyo, huku amiri jeshi mkuu wao ni John Pombe Magufuli