Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

Usijisahau wewe...kwa comment ni wazi unafurahia kifo Cha Askari huyo...Bila Shaka una vimelea vya ugaidi...
 
ASP Baganda ndio nani ?
Yaani ulivyo Kilaza eti na wewe unavizia uteuzi
 

ww jamaa unafaa kuteuliwa,unajenga hoja vizuri hata kama ni ya tope

ili usimisi connection uweke namba ya simu
 
Aaaaaaaah. Usitutishe bhana......
 
ww jamaa unafaa kuteuliwa,unajenga hoja vizuri hata kama ni ya tope

ili usimisi connection uweke namba ya simu
Hivi kila anayeandika humu akifikiria uteuzi - mteua ana nafasi ngp? Humu ni jukwaa ambamo maisha yake ni give and take (najifunza na kufunza)

Nimekupenda tu kwa kuwa hutumii lugha za matusi
 
Tuassume ni kweli. Sasa twende kwenye takwimu. Katika vita ya askari dhidi ya raia, akifa askari mmoja wanakufa naye raia wangapi?
 
Diwa
Diwani anaheshimika kwakuwa sio mpiga kelele.
 
Ukweli ni kwamba miliuwa, mliiba mali za raia na mlinyang'anya haki za raia ya kuchagua viongozi kwa kuiba kura mchana kweupe. halafu mnataka kutunga kesi za maigizo ili muweze kujihami hali ikiwageuka? Mkiambiwa mnajitia kutisha watu ili iweje? hamuoni hata haya wala hamuoni vibaya! Msidhani kwamba watu tutarudi nyuma kupigania haki zetu kwa kuwa mnatutishia kutufanyia kama mlivyowafanyia wenzetu. Nia yenu ni ikutuziba midomo ili muendeleze udhalimu wenu?
Kwa taarifa yenu sisi tumefarijika sana kwamba tumeweza kuwa-expose ushenzi wenu duniani! Na kila mnavojaribu kutisha watu ndivo mnavozidi kujitumbukiza kwenye nyavu. Endeleeni tu!
 
ICC ni Mahakama ya Kimataifa ndugu inayofanya kazi Kwa weledi wote. Hizi figisu za Mahakama zetu za ndani ambazo mara nyingi zinawapendelea wakubwa na familia zao kule hazipo. So usishangae woote hao wakaburutwa ICC.
 
Umejiunga juzi tu tarehe 23/10/2020 siku 4 kabla ya uchaguzi ili kujibu na kutisha watu kwa mikwara ya mtindo huu! Hata kama umetumwa, nawe jiongeze. Jiweke kwenye machungu ya wazanzibari waliodhulumiwa haki yao ya kidemokrasia na haki ya kuishi kutokana na uchaguzi huu ambao hao aliowataja walikuwa na wajibu wa kulinda haki hizi.
 
Mikwara ya nini wewe mfu watu wako tayari kwa lolote acha mikwara mbuzi hata kama wewe mmoja wao
Mko tayari kwa lolote lipi? Mbeligiji wenu aliwambia mwende barabari ili mtetee ushindi wake aloamini umepolwa na tume mkaogopa,sasa huo utayari unataka wapi? Mkiwa nyuma ya keyboard mnamikwala sana ila linapokuja swala la kuuthibitisha ushujaa wenu hatuwaoni ,why?

Acheni kucheza na mamlaka halali za nchi,mtashghulikiwa vilivyo ninyi wapinzani uchwara
 
Usiingilie kazi ya mahakama.. Tuhuma zinathibitishwa au kubatilishwa na mahakama
 
Hawana hata aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…