Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

Nina mashaka sana na mwendendo wako kwenye hizi issue hasi zinazoendelea nchini.

unaonekana kushabikia sana matukio yanayoendelea haswa ya uvunjwaji wa sheria kwa kigezo cha siasa

Hata hili la askari kuuawa seems halijakugusa kabisaa..

Sisi wapenda amani tumeguswa na matukio ya wananchi kufa siku ya uchaguzi na hata askari kuuawa siku hiyo imetugusa. Mambo haya yakome na yasiridiwe tena
 
My friend don't dare to prove beyond the reasonable doubt for what you have said.

DONT DARE TO BE INVOLVED IN GENERAL ATTACHMENT
 

Sawa kazi nzuri lakini hizo meza hazifanani kabisa na hadhi ya ofisi yenu, zinaonekana kama za mgahawani kwa mama lishe
 
Kawaida kabisa jambo likienda komba kwenye eneo lako kama kiongozi mkuu huwezi kukwepa kuwajibika.
Muulize mzee Ruksa ni shuhuda kwa yaliyotokea Mwanza na Shinyanga wakati akiwa Home Affairs Minister. Na mifano ni mingi sana.
 
Mwana jf mwenzangu unaishi nchi gani? Tuanzie hapo kwanza
 

Swali la Msingi ,walikuwa wapi Siku zote hizo tusisikie hizi Taarifa za kupotea kwa Askari na Silaha !?

Yani Bunduki AK47 ipotee na Askari apotee tusipewe Taaarifa !?.Hapana ,hapo pana namna mnataka kufanya ili ionekane ndivyo sivyo.

Taarifa za kuuwawa Raia tumeisikia moja tu ,Raia wengine na wale wote walio jeruhiwa vibaya hatuzisikii zikitolewa na Jeshi la Polis zaidi ya kauli kali za huyo Kamanda alipo kuwa akihojiwa na DW.

Kajipange tena Mkuu kuleta utetezi kwa hawa wauaji.
 

Mkuu ,hata Akwilina (R.I.P.) mlimuua kwa Silaha mchana kweupe na hakuna alie fikishwa Mahakamani zaidi ya porojo za Mambosasa.

Uzuri wa Nature, na nyie Muda wenu utafika na mtakufa na kuwa Mizoga.
 
kaka hiyo inaitwa funika kombe.....
 
Kuna watu wakiwa kwenye ajira wanakuwa vipofu . Sawa na huyo
 

Mkuu mambo mengine hayawezi kukoma kwa Sababu yana Sababishwa na Watu kwa chain ya Mfumo mmbovu ndani ya Nchi hii ,hao Askari wafe tu kwa sababu nao ni Binadamu na wao huuwa Raia for nothing kisa wanatii Mamlaka.

Baadhi ya Raia hawana Imani na Polis ,ndipo mlipo tufikisha hapa.Nntamkumbuka Saidi Mwema walau alijitahidi kwa kiasi kupunguza Kasi ya Askari wake kufanya yasio takiwa na Jeshi.
 
We jamaa mshamba sana,mikwara ya kitoto hii unaileta jf😆 holy SHIT
 
Askari 1 tunatangaziwa , wapemba 50 tunafichwa !
Kwanini wewe usitangaze? Hakuna anayekuzuia kutangaza hao 50 unaowafahamu. Vipi Waziri mkuu wa nchi ya kusadikika ya JF anaanza kazi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…