Niazime za kwakoHivi una akili timamu wewe?
Kwani wewe ulishawahi kushauri serikali mambo mazuri kwa taifaSiku hizi nisha acha kutembea tembea hasa usiku
Yameanza tena haya mambo?kwani kujiuzulu kunaugumu Gani Hadi uue watu namna hiyo?
Usikute ni li-kampuni li-kubwa la betting limemuua mshindi wa jackpot!Sio mdude?
ni kina nani hao?Tunawatakia Mauaji mema
ngilia mambo ya watu unauhakika wakurudi salama mengine mnajitakia wenyewe tulieniMaisha ya sasa ukiona unarudi nyumbani salama huku mkishiriki chakula cha usiku na familia, jambo la kumshukuru Mungu
Nitakufaje ~ King Crazy GK
Sisi Wananchi Jukumu letu ni kulipa Kodi tu, sio kuhoji matumizi ya hiyo Kodi yenyeweusipoingilia mambo ya watu unauhakika wakurudi salama mengine mnajitakia wenyewe tulieni
Mzee Kibao alikua anatembea usiku?Siku hizi nisha acha kutembea tembea hasa usiku
Madaraka matamu sanaTaharuki imezuka maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam baada ya mwili wa Mtu kupatikana ukiwa umefungwa kwenye kiroba ukiwa unaelea katika mtaro.
Huwajui au unajisahaulisha?ni kina nani hao?