Ukute katupwa hata kabla hajafamaisha haya ni fumbo zito sana, mtu anaua kabisa na kufunga kama mzigona anaenda tupa kabisa mwanadamu mwenzie, ni huzuni kubwa sana. Yote hayo ni katika kutafuta chakula, madaraka na starehe ( uchi) hakuna lingine
Mkuu hakika ukitafakari Kwa kina level ya ukatili ambao binadamu wenzetu wamefikia hadi unaiogopa duniamaisha haya ni fumbo zito sana, mtu anaua kabisa na kufunga kama mzigona anaenda tupa kabisa mwanadamu mwenzie, ni huzuni kubwa sana. Yote hayo ni katika kutafuta chakula, madaraka na starehe ( uchi) hakuna lingine
panapoweza punguza risk tunapunguza mkuuMzee Kibao alikua anatembea usiku?
Inawezekana ni wale waliotekwa? Mhh hapana, kwamba walikuwa nae siku zote hizi? Au inawezekana amefarishwa toka mikoa ya mbali kuja kutupwa Jangwani?, hapana? Au lengo lao kutisha kwamba kufungwa kiroba ukiwa tofauti na wao ni simple na inawezekana? Anyway acha nikae kimya!Taharuki imezuka maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam baada ya mwili wa Mtu kupatikana ukiwa umefungwa kwenye kiroba ukiwa unaelea katika mtaro.
Hapana, we ukishauri inatoshaKwani wewe ulishawahi kushauri serikali mambo mazuri kwa taifa
Thanks God he's Alive in Heaven 🙏Alive or dead?
Nani Mpanga vifo vya watu?Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Polepole amedokeza kuwa mtoto wa nanii amepewa cheo kule jikoni kuongoza magengge ya kihalifu.Tunawatakia Mauaji mema
Polepole hamnazo kama mange tu,mange alidai mama analazimisha mwanae awe mkuu wa majeshi,na misukule yake ika-like na kusikitikaPolepole amedokeza kuwa mtoto wa nanii amepewa cheo kule jikoni kuongoza magengge ya kihalifu.
siwajui nitajie na ukishindwa we ni kima tu kama walivyokima wengine wasio na akiliHuwajui au unajisahaulisha?
Basi Hayasiwajui nitajie na ukishindwa we ni kima tu kama walivyokima wengine wasio na akili
Tunamtakia Mauaji MemaPolepole amedokeza kuwa mtoto wa nanii amepewa cheo kule jikoni kuongoza magengge ya kihalifu.
Wanajifanya hawana taarifa,uliwapelekea taarifa?..au polisi mtu akifa karibu yao automatically wanajua?Hapa Jangwani kuna Mtu kafungwa kitambaa Usoni na kutelekezwa. Bado haijajulikana ni nani..
Naamini vyombo vya dolla vitafuatilia na kutoa taarifa....
Kutoka hapa hadi kituo cha Polisi si mbali ila wanajifanya hawana taarifa
Yupo kwenye Kiroba anaelea
View attachment 3455025