Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,049
- 4,301
UnforgettableTanzania
Kwani uongo?Polepole hamnazo kama mange tu,mange alidai mama analazimisha mwanae awe mkuu wa majeshi,na misukule yake ika-like na kusikitika
Dah aisehh Mungu ni mkubwa anaweza ,kuna jamaa humu nimeuliza hili swala akaniona mimi wa hovyo,Thanks God he's Alive in Heaven 🙏
Don’t simplifyAlipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Kwahiyo unaamini Rais amehusika?Aisee! Hii nchi imefika kubaya sana.
Nchi iliyoitwa kisiwa cha amani tulikuwa na matatizo yetu, ila kuanzia 2016/17 tulipoteza direction kabisa ubinadamu unazidi kututoka kadri siku zinavyokwenda.
Bahati mbaya rais atakayefuata naye akikosa chembe ya ubinadamu tuitafute tena 2040 tukiendelea kumalizana kama mazombie ni muda mrefu, tabia hii itaingia kwenye DNA zetu na mbeleni hata nyama za binadamu zitaliwa mezani nchi hii.
Nani huyo anaepanga watu wauwawe kwenye viroba? Labda wahuni ndio wanapanga TU!Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Maisha hayapo hivyo nduguuSiku hizi nisha acha kutembea tembea hasa usiku
tafadhari muhimu pia kuchukua. Kwasababu risk zipo na panapowezekana una punguza, huku ukimuomba Mungu pia, na ukitumia hekima piaMaisha hayapo hivyo nduguu
Wanatoa uhai wa mwenzao wakati ,wao wenyew hawajui watakufa lini,wote pua zetu zimeangalia chini ishara ya kuwa wote ni wa mavumbini tu,sinui wana roho ganiTaharuki imezuka maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam baada ya mwili wa Mtu kupatikana ukiwa umefungwa kwenye kiroba ukiwa unaelea katika mtaro.
Nilipita hapo mchana nikaonaTaharuki imezuka maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam baada ya mwili wa Mtu kupatikana ukiwa umefungwa kwenye kiroba ukiwa unaelea katika mtaro.
Wameanza tena, hawawezi kumaliza nchi nzima. Bi Urojo hatakiwi Tanganyika.Taharuki imezuka maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam baada ya mwili wa Mtu kupatikana ukiwa umefungwa kwenye kiroba ukiwa unaelea katika mtaro.