Mwili wa Mtu aliyefungwa kwenye Kiroba wapatikana ukielea kwenye Mtaro Jangwani

maisha haya ni fumbo zito sana, mtu anaua kabisa na kufunga kama mzigona anaenda tupa kabisa mwanadamu mwenzie, ni huzuni kubwa sana. Yote hayo ni katika kutafuta chakula, madaraka na starehe ( uchi) hakuna lingine
 
Mungu awape mwisho mwema walio tenda unyama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…