Mwili wangu na akili yangu vimechoka sana, sasa nakaribia kukata tamaa

Diabetes ina huo mchezo, na mimi ilianza hivyo hivyo, na hata ukienda hosp unaweza ukapimwa ukaambiwa huna kisukari kwasababu sio muda wote utakaopima sukari itakuwa imepanda. Check blood sugar levels mara kwa mara
 
Maji huwa yanasaidia nini kunywa Lita 3 kwa siku?
Mimi sinywi maji na nikinywa ni nusu glass kwa wiki ni mwendo wa chai, kahawa na juice pamoja na fizzy drinks ila sichoki

Labda ni stress za kazi zako au maisha upande wa mwenzio au dispersion
Hatuwezi kujua mpaka ufunguke
 
Ikiwa uko kazini omba likizo ya wiki moja uende kijijini kabisa kwa mama au bibi. Ukifika huko funga simu (kama huna familia) usiwasiliane na mtu, wewe fanya kazi za kumsaidia mama au bibi ambazo hazihitaji matumizi ya akili nyingi. Ukiwa na familia waambie utakuwa unawasiliana nao usiku usiku kwa muda wa dakika tano tu halafu funga simu.

Jioni tembelea jirani na upige stori nao, zile ambazo za kijijini, wewe uwe kwa kiwango kikubwa ni msikilizaji tu......

Baada ya wiki moja utajikuta uko fresh kabisa.

Usikae muda mwingi bila ya kuchukua likizo fupi au hata weekend off (nenda japo beach Kigamboni kama uko Dar).

Itakusaidia sana.

Baada
 
Una issue ya Depression mbaya inakunyemelea au ishakuvaa tayari. Kosa lingine unafanya ni kunywa Energy Drinks, unazidi kuuvuruga Moyo wako! Mwili umechoka kutokana na unachokiwaza muda mwingi!

Badili vitu unafikiria kwanza, unatakiwa kupata muda mwingi kulala pia.
 

Wahi hospital cheki sukari
 
Pole sana kama hospital wamesema hauna shida ebu jaribu kuangalia kama unapata usingizi vizuri na muda mzuri wa kupumzika.
 
Sawa asante kwa ushauri ndugu yangu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Unajishughulisha na nini? Nadhani shida zinaanzia hapo.

Pili, mahusiano yako yakoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…