Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Pole mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya kazi ambayo unaipenda every day.
Mimi ni mpambanaji..Unajishughulisha na nini? Nadhani shida zinaanzia hapo.
Pili, mahusiano yako yakoje?
Sawa mkuu nitafanya hivyo. Maana nataka sasa kurelaxkunywa pombe kali kidogo tu kama nusu glass
Sina maradhi yoyote hayoStutus Yako ya HIV ikoje? before anything jua kwanza hiyo
AminaDawa yako ni kujisalimisha mbele ya Mwenyezi Mungu na kuomba nusura yake.
Huenda kuna negative entity(mapepo/majini wabaya) wanafeed on your energy.
Jitahidi kuwa msafi mara kwa mara
Jitahidi kupiga goti mbele ya Mwenyezi Mungu kuomba toba na ulinzi mara kwa mara.
Fanya Meditation na kulitaja jina la Mwenyezi Mungu mara kwa mara (Mungu muumba mbingu na nchi JEHOVA siyo Yesu) na kuomba nusura
Iambie nafsi yako kuwa utashinda na Shetani na majeshi yake yatashindwa kwa Idhini ya Muumba mbingu na nchi na amka ufanye shughuli zako usikubali hiyo nguvu hasi ikuweke chini.
Tenda mema na acha maovu!
Asante mkuu..Fanya kazi ambayo unaipenda every day.
Jaribu kusafiri angalau few weeks kutoka eneo ulipo.
Jitahidi kulala mapema na kuamka mapema.
Jaribu kusoma motivation books kumbuka the most motivating books ni biblia au Quran tukufu.
Achana na Gym fanya kazi tu manual ndogondogo zitakazokutoa jasho kikubwa ziwe purposeful work siyo kunyanyua vyuma na kukimbia hovyo hovyo barabarani kama kichaa.
Acha kukaa peke yako muda mrefu jichanganye na marafiki au ndugu.
Punguza mawazo yasiyo na tija, kaa na wazee wako piga nao stori tu za maisha.
La mwisho.
Jitahidi kusali kulingana na imani yako angalau asubuhi na jioni.
Kufanya hivyo kwa wiki mbili tu njoo hapa ulete mrejesho.
rudi tena mkuu,hata mimi nilikua nasikia hivyo hivyo,pia pata muda wa kulala wa kutosha.
Usikubali hata kidogo kujiingiza kwenye kilevi. Utaanza na robo glasi utaishia kuwa 'alcoholic'.Sawa mkuu nitafanya hivyo. Maana nataka sasa kurelax
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Usifuate huu ushauri, utakupeleka ktk shimo la ulevi na kupotoka kabisaSawa mkuu nitafanya hivyo. Maana nataka sasa kurelax
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app