jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,025
- 4,276
- Thread starter
- #81
Kipato napata vizuri , hapo hakuna shakaShida inaanzia kwenye kupambana. Unapambana na usichokiweza. Tafuta kazi na ufanye kazi. Umifanya kazi unapata tulizo la nafsi. Mwili unaitika wenyewe.
Kumbuka, simaanishi kufanya kazi ya ajira pekee, namaanisha kazi inayokupa kipato.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app