YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 437
- 674
Soma Bible, Fanya maombi especially ya saa nane usiku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepima?
Umepima?
unamsongo wa mawazo mwingi ndio unakusababishia hivyoo,kaa tulia relax na umuombe munguHabari..
Wakuu mimi kijana wenu nahisi uchovu mkali sana na kuishiwa sana nguvu kimwili na kiakili..
Yani akili na mwili wangu vimechoka sana ndugu zangu. Nimejitahidi kunywa maji mengi si chini ya lita tatu (3ltrs) kwa siku, kula ndizi mbivu, matikiti, maparachichi, miogo ya kuchemsha na viazi vitamu, chocolates, machungwa na hata energy drink, kulala mapema , mazoezi ya viungo kwa lengo la kuboost nguvu ya mwili (energy) na akili lakini bado nimechoka sana ndugu zangu.
Naombeni mnisaidie nifanye nini wakuu kuondoa huu uchovu wa mwili na akili , kwa kuzingatia kwamba nimeenda hospitali kucheck afya na kujibiwa na wataamu nipo sawa kabisa sina ugonjwa,
Nimekaribia kukata sasa tamaa ndugu zangu
Asanteni.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Shida inaanzia kwenye kupambana. Unapambana na usichokiweza. Tafuta kazi na ufanye kazi. Umifanya kazi unapata tulizo la nafsi. Mwili unaitika wenyewe.Mimi ni mpambanaji..
Sina mahusiano ya kueleweka
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Habari..
Wakuu mimi kijana wenu nahisi uchovu mkali sana na kuishiwa sana nguvu kimwili na kiakili..
Yani akili na mwili wangu vimechoka sana ndugu zangu. Nimejitahidi kunywa maji mengi si chini ya lita tatu (3ltrs) kwa siku, kula ndizi mbivu, matikiti, maparachichi, miogo ya kuchemsha na viazi vitamu, chocolates, machungwa na hata energy drink, kulala mapema , mazoezi ya viungo kwa lengo la kuboost nguvu ya mwili (energy) na akili lakini bado nimechoka sana ndugu zangu.
Naombeni mnisaidie nifanye nini wakuu kuondoa huu uchovu wa mwili na akili , kwa kuzingatia kwamba nimeenda hospitali kucheck afya na kujibiwa na wataamu nipo sawa kabisa sina ugonjwa,
Nimekaribia kukata sasa tamaa ndugu zangu
Asanteni.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Unakaribia kuukatia tamaa uhai kama mo anavyokaribia kuikatia tamaa Simba?Habari..
Wakuu mimi kijana wenu nahisi uchovu mkali sana na kuishiwa sana nguvu kimwili na kiakili..
Yani akili na mwili wangu vimechoka sana ndugu zangu. Nimejitahidi kunywa maji mengi si chini ya lita tatu (3ltrs) kwa siku, kula ndizi mbivu, matikiti, maparachichi, miogo ya kuchemsha na viazi vitamu, chocolates, machungwa na hata energy drink, kulala mapema , mazoezi ya viungo kwa lengo la kuboost nguvu ya mwili (energy) na akili lakini bado nimechoka sana ndugu zangu.
Naombeni mnisaidie nifanye nini wakuu kuondoa huu uchovu wa mwili na akili , kwa kuzingatia kwamba nimeenda hospitali kucheck afya na kujibiwa na wataamu nipo sawa kabisa sina ugonjwa,
Nimekaribia kukata sasa tamaa ndugu zangu
Asanteni.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nakupa tiba hii mm ilinisaidia coz nlienda hadi apolo hospita jikaambiwa siumwi kitu.Habari..
Wakuu mimi kijana wenu nahisi uchovu mkali sana na kuishiwa sana nguvu kimwili na kiakili..
Yani akili na mwili wangu vimechoka sana ndugu zangu. Nimejitahidi kunywa maji mengi si chini ya lita tatu (3ltrs) kwa siku, kula ndizi mbivu, matikiti, maparachichi, miogo ya kuchemsha na viazi vitamu, chocolates, machungwa na hata energy drink, kulala mapema , mazoezi ya viungo kwa lengo la kuboost nguvu ya mwili (energy) na akili lakini bado nimechoka sana ndugu zangu.
Naombeni mnisaidie nifanye nini wakuu kuondoa huu uchovu wa mwili na akili , kwa kuzingatia kwamba nimeenda hospitali kucheck afya na kujibiwa na wataamu nipo sawa kabisa sina ugonjwa,
Nimekaribia kukata sasa tamaa ndugu zangu
Asanteni.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mpambanaji ni kazi gani?Mimi ni mpambanaji..
Sina mahusiano ya kueleweka
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hela sio shida zangu mkuu.. zipo na hazinisaidii chochote.Vihela vya hapa na pale unavyo??? Ukifulia sana pia unakua unajihisi kuumwa umwa tu na uchovu mwingi
Sawa mkuu , nitafanya hivyo. Ila nikiacha sukari nitumie nini kama mbadala wake?mkuu jaribu kulala mapema na jizuie kula wanga na sukari kwa muda uone matokeo
Nilikua nafanya hayo yote. Ila nimeona niache kwanza maana naweza jikuta siamini tena..Soma Bible, Fanya maombi especially ya saa nane usiku.
Sawa. Nikitaka kurelax nifanye nini basi kurelax?unamsongo wa mawazo mwingi ndio unakusababishia hivyoo,kaa tulia relax na umuombe mungu
Kweli umechoka asee we komaa tu life ndio ilivyo kuchoka lazima uchoke ukiangalia umri unasoma 78+ hapo kuchoka lazima MzeeNaombeni mnisaidie nifanye nini wakuu kuondoa huu uchovu wa mwili na akili , kwa kuzingatia kwamba nimeenda hospitali kucheck afya na kujibiwa na wataamu nipo sawa kabisa sina ugonjwa,
Sawa mkuu hakika nitajaribu.. maana nilijaribu kuvuta gundi na relax na kupata usingizi japo kifua kinakua kinawaka moto.. nitajaribu na hiyo bangi nione kama itanisaidiaJaribu kuvuta bangi itakusaidia kuondoa stress
Habari!Habari..