Mwili wangu na akili yangu vimechoka sana, sasa nakaribia kukata tamaa

unamsongo wa mawazo mwingi ndio unakusababishia hivyoo,kaa tulia relax na umuombe mungu
 
Hulali ww,tafta muda ulale hata masaa 12 mfululizo ,ukiamka ni kula ,kunywa au kujisaidia
 
Mimi ni mpambanaji..

Sina mahusiano ya kueleweka

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Shida inaanzia kwenye kupambana. Unapambana na usichokiweza. Tafuta kazi na ufanye kazi. Umifanya kazi unapata tulizo la nafsi. Mwili unaitika wenyewe.

Kumbuka, simaanishi kufanya kazi ya ajira pekee, namaanisha kazi inayokupa kipato.
 



Afya ya hela na kimahusiano ikoje?
 
Unakaribia kuukatia tamaa uhai kama mo anavyokaribia kuikatia tamaa Simba?
 
Nakupa tiba hii mm ilinisaidia coz nlienda hadi apolo hospita jikaambiwa siumwi kitu.
Acha kula product zote za ngano. Mm nlikuwa na fatique masaa yote kwa sababu nikila ngano nlikuwa nachoka balaa yaan nalala ila nikiamka asubuhi ni na uchovu wa akili mwili umechoka na unauma wite nataman niendelee tu kulala.
Nikaja kushtuliwa na mtu nisile ngano. Nipo fresh sana hadi leo.


Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Naombeni mnisaidie nifanye nini wakuu kuondoa huu uchovu wa mwili na akili , kwa kuzingatia kwamba nimeenda hospitali kucheck afya na kujibiwa na wataamu nipo sawa kabisa sina ugonjwa,
Kweli umechoka asee we komaa tu life ndio ilivyo kuchoka lazima uchoke ukiangalia umri unasoma 78+ hapo kuchoka lazima Mzee
 
Habari!
Pole na kuumwa.

Bunadamu amejengeka kwa:

1: Mwili/Body

2: Fiziolojia/kinachoendelea ndani ya mwili

3: Saikolojia/kinachoendelea kwenye ubongo/fikra.

4: Sosholojia/mahusiano na wengine/mazingira.

5: Spiritual/Imani

Mgogoro wowote kati ya hivi huweza kuathiri wenzake. Mara nyingi wagonjwa hueleza walipoangukia na si walipoteleza. Ni kazi ya wataalamu wa afya kufanya wholistic approach ili kung'amua tatizo.

Dalili unazozieleza si specific/ni vague. Unahitaji mtu wa kukaa nawe/mtaalamu wa afya nk. si chini ya nusu saa au zaidi ili kuleta maana na kupunguza wigo wa dalili hizi kwa kuunganisha hayo hapo juu bila haraka.

Baada ya hapo, kupanga nini kifanyike kwa ushirikiano mkubwa. Vipimo vya kudonoa donoa mara nyingi vitakusababishia mkanganyiko zaidi kwani unapopata majibu haya yanaweza yasijibu tatizo halisi.

Nakutakia tiba jema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…