Mwili wangu na akili yangu vimechoka sana, sasa nakaribia kukata tamaa

Shida inaanzia kwenye kupambana. Unapambana na usichokiweza. Tafuta kazi na ufanye kazi. Umifanya kazi unapata tulizo la nafsi. Mwili unaitika wenyewe.

Kumbuka, simaanishi kufanya kazi ya ajira pekee, namaanisha kazi inayokupa kipato.
Kipato napata vizuri , hapo hakuna shaka

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu . Uliacha kula ngano ukawa unakula nini kama mbadala wake?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kweli umechoka asee we komaa tu life ndio ilivyo kuchoka lazima uchoke ukiangalia umri unasoma 78+ hapo kuchoka lazima Mzee
Mimi bado ni kijana mdogo sana mkuu ila nimechoka sana, huo umri hapo gawanya kwa mbili toa miaka kadhaa.. unapata kujua bado ni kijana mbichi kabisa ila nimechoka kama mzee

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi bado ni kijana mdogo sana mkuu ila nimechoka sana, huo umri hapo gawanya kwa mbili toa miaka kadhaa.. unapata kujua bado ni kijana mbichi kabisa ila nimechoka kama mzee

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
78÷2= 39
39-9= 30

Nime-assume upo 30 sasa hapo kijana si ndio mwili unapokua active zaidi ukiondoa waliopo 20/21 shida yako haswa ni nini kinasababisha uzito uliopitiliza una ugua maradhi yasiyo na tiba au nini ? Elezea vizuri
 
Kilichobaki ongea na MshanaJR atakuelekeza pa kwenda haya maisha usiyachukulie kiboya. Jiongeze!!!
 
Nilikua nafanya hayo yote. Ila nimeona niache kwanza maana naweza jikuta siamini tena..

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hapo ulipoishia ungeendelea kidogo,,, tungezungumzia mengine now. Imani ni viwango vya juu zaidi vya ukichaa, do beyond your comfort zone, something will happen in no small way.
 
78÷2= 39
39-9= 30

Nime-assume upo 30 sasa hapo kijana si ndio mwili unapokua active zaidi ukiondoa waliopo 20/21 shida yako haswa ni nini kinasababisha uzito uliopitiliza una ugua maradhi yasiyo na tiba au nini ? Elezea vizuri
Sina maradhi yasiyo na tiba na wala sina historia ya kuugua , hospital ukifatili file langi shida ni hii kuishiwa tuu nguvu ila maradhi mengine mara nyingi sina kabisa hata wakichek wanasema hawaoni shida..

Uzito wangu ni 59 /61 unachezaga hapo tuu nahauja wahi kuongezeka kabisa kuvuka hapo naikitokea umepungua basi hauvuki 52 pia na urefu wa futi 5.6

SHIDA HASWA NI KUCHOKA SANA MWILI NA AKILI? YANI NIMECHOKA SANA

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…