Mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana

Mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana

generationn Z

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2025
Posts
454
Reaction score
748
Hivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ...

Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni ninišŸ™šŸ»
 
acha kuvaa nguo za polyster au zenye material ya nylon kama jezi, track na t-shirt za kuvutika, vaa nguo za cotton
Upo sahihi sana niligundua nikivaa jezi wakati naenda mazoezini na kushika chuma au gari pembeni unapigwa shoti ya kutosha kwa hiyo jezi ya juu naenda kuvalia Uwanjani ila mazoezi ya mbio na kutembea navaa tu.
 
Hivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ...

Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni ninišŸ™šŸ»
TANESCO, kuna chanzo kingine cha umeme wa bei nafuu kimegundulika huku. Msinisahau kwenye 10%.
 
Back
Top Bottom