NdyooHiyo hali hata mimi hunitokea mara chache. Ajabu watu wanafanya
Hongera yakoMimi nishawahi kutokewa na hili tatizo na likaisha lenyewe
Ningeweka tu USB mdomoni halafu naiconnect kwenye simu.🤣🤣🤣🤣sasa ungeiconect na tundu lipi mwilini kwako ili kufyonza huo umeme mkuu🏃🏻🏃🏻🏃🏻
Haya bana🔥Ningeweka tu USB mdomoni halafu naiconnect kwenye simu.
Inazidi kama unashika sana vitu vya chumaVipi mkuu iliisha automatic au kuna namna ulifanya
acha kuvaa nguo za polyster au zenye material ya nylon kama jezi, track na t-shirt za kuvutika, vaa nguo za cotton
Nilikuwa na hii shida kipindi nasoma Chuo.
Vile vitanda vya Hostel, vya chuma, vilikuwa vinanipiga sana shoti mwilini kila nikigusa.
Inazidi kama unashika sana vitu vya chuma
Pia na simu,,ukitumia simu afu ushike chuma, hiyo hali inazidi.
Kumbe ndo sababu, jana usiku shuka langu la polyster limenipiga shotTembea peku kwa mda uone
Sehemu unazokanyaga sana Kama wewe ni dereva wa gari basi hilo unalokanyaga kila saa ndio sababu
Au popote kwenye carpet inaweza kuwa sababu
Ngoja wajuzi wengine waje
shuka lako ni material gani? kama ni polyester zima taa chumbani alafu fanya kama unatandika kitanda kunguta shuka kama mara mbili...tatu lzm litoe mwanga wa checheMbna hata nikiwa nimetoka kuoga sijavaa chochote nikishika shuka au net tayar napigwa shot
Ndio hiyoKumbe ndo sababu, jana usiku shuka langu la polyster limenipiga shot
Waambie tanesco bye-bye. Wewe unajitosheleza.Hivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ...
Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni nini🙏🏻
DuuuuhMie kuna wakati nilikua nikishika cm au pc kwa mda mrefu inapata joto utasema inachemka,
Sikuwahi jua shida nini, ila kwa sasa niko sawa tu.
🤣🤣🤣🤣Nimegundua nyuzi zangu zinashoti kila nikipost tu jf staff wanazifuta