generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
- Thread starter
- #61
Acha utaniKi phizikia ni mambo ya static electricity au inawezekana uneshaungua na ngwengwe ,/ ukimwi
Acha utaniKi phizikia ni mambo ya static electricity au inawezekana uneshaungua na ngwengwe ,/ ukimwi
Ok asanteHabari za muda wakuu.
Naomba msaada wa hii ninayopitia ya mwili unakuwa katika hali ya kupatwa na shock kama ya umeme hasa nikiinamisha kichwa. Hospitali wameniambia wakati mwingine h-pyori huwa anasababisha hiyo lakini kwa muda ambao nimetumia dawa za h-pyori hiyo hali bado ipo.
- kilama
- hali katika kupatwa mwili umeme
- Replies: 16
- Forum: Jamii Health (Jukwaa la Afya)
Pitia hapo mkuu huenda ukapata chochote. Ushauri zaidi muone daktari mtaalam wa neurology.
DaaahWaambie tanesco bye-bye. Wewe unajitosheleza.
Asant nalifanyia kazi hiliAcha kunywa au punguza vinywaji vya kahawa huku ukinywa maji ya kutosha
Hii ni kawaida ya static electricity. Mimi pia kuna mtu nikimshika mkono mara nyingine tunapata “shot” ndogo 😅. Mara nyingi husababishwa na chaji kujikusanya mwilini, hasa kwenye mazingira makavu au ukiwa umevaa nguo/material zinazozalisha static. Sio lazima iwe tatizo la kiafya.Hivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ...
Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni nini🙏🏻
Sawa ila shot zinatokea hata nikiwa nje na nyumbaniKuna shida na earthing nyumbani kwako, angalia vizuri kwa kuita fundi. Kuna siku nliishi mbagala kongowe so usiku nikasikia jirani anakemea mapepo hakulala usiku kucha, kesho yake toka asubuhi hadi jioni anasali tu, na usiku tena anasali mda mrefu, ilienda kama siku 4 hivi ikabidi nimuulize kulikoni, akaanza kusema shetani ashindwe vitu vyote akivishila anatetemeshwa, akideki anatetemesshwa. Nikamweleza kaite fundi umeme kuna shida ya umeme.
Tukio la2 house girl wetu vtumetoka home tunarudi tukamkuta amekaa nje ana njaa balaa, kumuuliza kulikoni anasema kila anachoguza anapigwa kofi na mtu asiyeonekana, naye anasema nyumba yenu ina mapepo. Ilianzia kwwnye frij, akaona aanze kudeki anakapigwa kofi so angalia earthing kuna umeme kidogo unavuja
Bila shaka unachezea simu muda mrefuHivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ...
Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni nini🙏🏻
Siombei ila uwe makini mvua ikinyesha. Radi inakuhusuHivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ...
Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni nini🙏🏻
Kafanye MRI Kucheck total spine( the entire spine (cervical, thoracic and lumbar regions).or else nenda kwa spine specialistHivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ...
Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni nini🙏🏻