Mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana

Mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana

Mkuu iyo watu wanazan n masihala iyo hali ata mm ninayo ad mama dogoli usiku anaogopa sometimes kunigusa au kunisogelea Kuna time ananuliza iv dogoli wewe n binadam kweli wewe nabaki 😂😂😂
Ndyo mimi mwanzo niliona kawaida ila kadri mda unavozid kwenda hali inazid kuwa endelevu ...hapa juzi kuna jamaa nilimgusa na kiwiko asee hadi aliluka kwa jinsi short ilivomshitua
 
Back
Top Bottom