generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
🤣🤣🤣weee unataka nifweDamu itakua na shoti hebu kunywa maji ya betri tuone kama haitaacha
Jiite generatorHivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ...
Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni nini🙏🏻
Upo sahihi sana niligundua nikivaa jezi wakati naenda mazoezini na kushika chuma au gari pembeni unapigwa shoti ya kutosha kwa hiyo jezi ya juu naenda kuvalia Uwanjani ila mazoezi ya mbio na kutembea navaa tu.acha kuvaa nguo za polyster au zenye material ya nylon kama jezi, track na t-shirt za kuvutika, vaa nguo za cotton
Au sioJiite generator
Mbna hata nikiwa nimetoka kuoga sijavaa chochote nikishika shuka au net tayar napigwa shotacha kuvaa nguo za polyster au zenye material ya nylon kama jezi, track na t-shirt za kuvutika, vaa nguo za cotton
Duuuh mbna km masiala sasaTafuta mtaalam wa umeme afanye marekebisho y mfumo wa umeme(hasa Earthing)
Huenda haifanyi kazi sawasawa
Unaendeleaje kwa sasa au tatizo liliisha kabisaUpo sahihi sana niligundua nikivaa jezi wakati naenda mazoezini na kushika chuma au gari pembeni unapigwa shoti ya kutosha kwa hiyo jezi ya juu naenda kuvalia Uwanjani ila mazoezi ya mbio na kutemea navaa
Gari naendesha mara chache chache sio sana but ntajalibu kutembea nioneTembea peku kwa mda uone
Sehemu unazokanyaga sana Kama wewe ni dereva wa gari basi hilo unalokanyaga kila saa ndio sababu
Au popote kwenye carpet inaweza kuwa sababu
Ngoja wajuzi wengine waje
Liliisha na lilikua sio kubwa sana ni vidole vya mikono tu sio mwili mzima..Unaendeleaje kwa sasa au tatizo liliisha kabisa
Sterling wheel ile cover lake ni kuondoa shoti zote za gari labda ya umeme mkubwa.Gari naendesha mara chache chache sio sana but ntajalibu kutembea nione
TANESCO, kuna chanzo kingine cha umeme wa bei nafuu kimegundulika huku. Msinisahau kwenye 10%.Hivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ...
Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni nini🙏🏻