Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Kitu huwa nashangaa kwa hawa watu ni kua mbona ambao hua wanajitanabaisha kua ni mapunga ni wengi ila sijawahi kuona mwamba anajitanabaisha kua yeye ni basha.
Sasa hai huwa wanasuguliwa kisirisiri na hao waliojificha
 
IMG_20211210_164413.jpg
IMG_20211210_164437.jpg
NiLiwaambieni vijana chunguzeni sana rangi ya nguo au mavazi mnayovaa.

Huyu kijana kajitokeza wazi na kusema yeye ni shoga na ukichunguza huwezi kudhania.
 
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.

Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.

"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya ndani.

Alisema kwa sasa anaishi ukweli wake na atatumia muziki wake kupinga taasubi za kiume zenye sumu, chuki na unafiki.

Chimano hajawahi kujitokeza hadharani kama mpenzi wa jinsia moja ingawa hapo awali aliwahi kuonekana na wapenzi wa kiume.

Tamko hilo la hadharani linaweza kuwa kupiga jeki juhudi za kupigania haki za watu wa jamii ya LGBT nchini Kenya, ambapo mapenzi ya jinsia moja yameharamishwa na yanaweza kuadhibiwa kwa hadi miaka 14 jela.

Reference: Sauti Sol singer Chimano hailed in Kenya for coming out as gay

View attachment 2038928
Koo huyu jamaa mwenye jinsia ya kiume anainamishwa daah noma sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unachekesha sana, kwahiyo dada zake wakitiwa basi yeye asitiwe? Hao dada zake wao wenyew hawawez kuzaaa had chimao? Au kuzaa n lazima? Je chimaao angeweza asiwe gay na asizae hao dada zake wangefanya nn? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwahyo kumbe maamuzi binafsi ya mtu yapo chini ya dada zake? Ko nawee hapo dada zako ndo wanaamua hatima ya maisha yako? Poleeeeh sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah...... kuna wakati ili usitende thambi bora unyamaze
 
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.

Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.

"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya ndani.

Alisema kwa sasa anaishi ukweli wake na atatumia muziki wake kupinga taasubi za kiume zenye sumu, chuki na unafiki.

Chimano hajawahi kujitokeza hadharani kama mpenzi wa jinsia moja ingawa hapo awali aliwahi kuonekana na wapenzi wa kiume.

Tamko hilo la hadharani linaweza kuwa kupiga jeki juhudi za kupigania haki za watu wa jamii ya LGBT nchini Kenya, ambapo mapenzi ya jinsia moja yameharamishwa na yanaweza kuadhibiwa kwa hadi miaka 14 jela.

Reference: Sauti Sol singer Chimano hailed in Kenya for coming out as gay

View attachment 2038928
Bongo wanakung'utwa kimya kimya
 
Back
Top Bottom