cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hayo sasa hayakuhusu, na sio mada kuhusu mie, tumjadili chimao huyu kwani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nikwamba ulizaliwa nanyege zanyuma au ulifundishwa ukubwan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo sasa hayakuhusu, na sio mada kuhusu mie, tumjadili chimao huyu kwani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nikwamba ulizaliwa nanyege zanyuma au ulifundishwa ukubwan
Koo huyu jamaa mwenye jinsia ya kiume anainamishwa daah noma sana.Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.
Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.
"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya ndani.
Alisema kwa sasa anaishi ukweli wake na atatumia muziki wake kupinga taasubi za kiume zenye sumu, chuki na unafiki.
Chimano hajawahi kujitokeza hadharani kama mpenzi wa jinsia moja ingawa hapo awali aliwahi kuonekana na wapenzi wa kiume.
Tamko hilo la hadharani linaweza kuwa kupiga jeki juhudi za kupigania haki za watu wa jamii ya LGBT nchini Kenya, ambapo mapenzi ya jinsia moja yameharamishwa na yanaweza kuadhibiwa kwa hadi miaka 14 jela.
Reference: Sauti Sol singer Chimano hailed in Kenya for coming out as gay
View attachment 2038928
Mzungu ni kama kaweka mkono wake wa kushoto kwenye tacore la mchele sema kamera haikuweza kuonesha live.View attachment 2039252
Leo watu ndio wataelewa maana ya hii picha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unachekesha sana, kwahiyo dada zake wakitiwa basi yeye asitiwe? Hao dada zake wao wenyew hawawez kuzaaa had chimao? Au kuzaa n lazima? Je chimaao angeweza asiwe gay na asizae hao dada zake wangefanya nn? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahyo kumbe maamuzi binafsi ya mtu yapo chini ya dada zake? Ko nawee hapo dada zako ndo wanaamua hatima ya maisha yako? Poleeeeh sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka nishangae we ukose humuNi hatua muhimu na bora sana kuishi ndani ya uhalisia wake.
Hongera sana chimao, piga kelele kwa chimao wake,weuweeeeeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu unaendelea kujiita Mwanaume!! 😚Dyudu la yuyu la Mwenzio linakuingia kweli?Kwani Mwanaume kapewa pa kuweka Dyudu la Yuyu??Yaani inakuaje Mwanaume unampenda mwanaume mwenzio asee, na unapata hisia za kusimamisha dyudyu mbele yake😡😡😡
Nini skirt, analiwa kichuri mbele ya umatiKuna yule mpumbavu anajiita Lil Nas X mpka jukwaan anavaa sketi, yan anaona ufahari kabisa[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hapaYaani huwa Nina mashaka Sana na wanaume wanaovaa nguo za pink.
Sasa hii suti NI ya solo, nguva au mapande Saba?
😂😂😂Mzungu ni kama kaweka mkono wake wa kushoto kwenye tacore la mchele sema kamera haikuweza kuonesha live.
Bongo wanakung'utwa kimya kimyaMwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.
Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.
"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya ndani.
Alisema kwa sasa anaishi ukweli wake na atatumia muziki wake kupinga taasubi za kiume zenye sumu, chuki na unafiki.
Chimano hajawahi kujitokeza hadharani kama mpenzi wa jinsia moja ingawa hapo awali aliwahi kuonekana na wapenzi wa kiume.
Tamko hilo la hadharani linaweza kuwa kupiga jeki juhudi za kupigania haki za watu wa jamii ya LGBT nchini Kenya, ambapo mapenzi ya jinsia moja yameharamishwa na yanaweza kuadhibiwa kwa hadi miaka 14 jela.
Reference: Sauti Sol singer Chimano hailed in Kenya for coming out as gay
View attachment 2038928
Bwanako anatoka kundi gani?kwahiyo wenzie walikuwa wanamfyatua kimya kimya,au bwana ake anatoka nje ya kundi!!!!View attachment 2038560
Dyudyu? Ndo mnaanziaga hukuYaani inakuaje Mwanaume unampenda mwanaume mwenzio asee, na unapata hisia za kusimamisha dyudyu mbele yake😡😡😡