Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

umeandika kwa staha sana kupita kiasi.Ungesema tu ni Shoga
 
Kuna wanaume wana roho ngumu Sana.

Watu wanalifyatua na madevu yake.
 
Haha Yaani umekua msemaji wao. Washawahi kukuambia hayo unayosema ? Ushawahi kufanya utafiti wowote kuwahusu ?Sasa unajisemeaje usivyovijua ? Wakati wanafanya kwa raha zao wewe unasema wana msongo wa mawazo sijui nini na nini 🤣🤣 . Yaani wewe ndio wanakuona una matatizo
 
Jamaa anatoa ndogo yake. Hajamuomba mtu msaada wankusaidiwa. Nyie mnaumia au wivu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si msemaji wao na ninaongea nnachokijua, huwezi kuwa na amani wakati uko tofauti na wengine.


Ingekuwa ulaya huko sawa ila kibongo bongo amini nakwambia hao watu hawana amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…