Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.

Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.

"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya ndani.

Alisema kwa sasa anaishi ukweli wake na atatumia muziki wake kupinga taasubi za kiume zenye sumu, chuki na unafiki.

Chimano hajawahi kujitokeza hadharani kama mpenzi wa jinsia moja ingawa hapo awali aliwahi kuonekana na wapenzi wa kiume.

Tamko hilo la hadharani linaweza kuwa kupiga jeki juhudi za kupigania haki za watu wa jamii ya LGBT nchini Kenya, ambapo mapenzi ya jinsia moja yameharamishwa na yanaweza kuadhibiwa kwa hadi miaka 14 jela.

Reference: Sauti Sol singer Chimano hailed in Kenya for coming out as gay

View attachment 2038928
umeandika kwa staha sana kupita kiasi.Ungesema tu ni Shoga
 
Kuna wanaume wana roho ngumu Sana.

Watu wanalifyatua na madevu yake.
 
Huu ni ulemavu wa kihisia huwa nasema mara nyingi, masimamngo na manyanyaso yote wanayokutana nayo lakini wamo tu.

Wewe jiulize kidume ukainamishwe kweli inaingia akilini? Ni aibu na dhihaka kubwa ile wengine hiyo aibu haoni wala dhihaka.

Huwa nawaonea huruma sana hao watu, na ukiwachunguza kwa makini wana msongo mkubwa sana wa mawazo sababu huwa hujiona tofauti.

Kwa wale wakristo

Yohana 8:7

Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Haha Yaani umekua msemaji wao. Washawahi kukuambia hayo unayosema ? Ushawahi kufanya utafiti wowote kuwahusu ?Sasa unajisemeaje usivyovijua ? Wakati wanafanya kwa raha zao wewe unasema wana msongo wa mawazo sijui nini na nini 🤣🤣 . Yaani wewe ndio wanakuona una matatizo
 
Haha Yaani umekua msemaji wao. Washawahi kukuambia hayo unayosema ? Ushawahi kufanya utafiti wowote kuwahusu ?Sasa unajisemeaje usivyovijua ? Wakati wanafanya kwa raha zao wewe unasema wana msongo wa mawazo sijui nini na nini [emoji1787][emoji1787] . Yaani wewe ndio wanakuona una matatizo
Si msemaji wao na ninaongea nnachokijua, huwezi kuwa na amani wakati uko tofauti na wengine.

Ingekuwa ulaya huko sawa ila kibongo bongo amini nakwambia hao watu hawana amani.
 
Back
Top Bottom