Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Uhuru bila mipaka hizo sasa ni fujo

Kuna watu wanazaliwa wanakuja kuwa wanataka tu kula nyama za watu
Kuna watu wao wanajikuta tu wanataka kuwa wana wamega dada zao au watoto wao kabisa
Kuna watu wao wanajikuta wanapenda tu kuua mtu ndio anajisikia faraja nk nk
Je hawa waachwe kwakuwa hawakuchagua kuwa na “ulemavu” huo?

Trust me huu upuuzi utakuja kupelekea vizazi vijavyo watu watakua wanao watoto wao na wataruhusiwa kula hadi nyama za watu
Haki za kipuuzi hizi
Hata kichaa anathibitiwa bana
Tatzo umekurupuka wala hujaelewa, hebu rudia na usome tena.
 
Hapana . Umeelewa vibaya.
Sasa unachoongelea wewe ni uhalifu .

Hawa ndugu zetu hawamdhuru mtu. Ni maamuzi yao na kwa furaha zao juu ya miili yao wenyewe. Kama ilivyo kwako. Watu wazima hao na maamuzi yao.
Kama Wakiona wako kwenye wrong direction watatafuta tiba na ushauri,wakiona wako Ok hayaa. Maisha kuchagua.

Achana na walawiti hao ni wahalifu Kama wahalifu wengine.
Mkuu kwani UHALIFU ni nini?
Kuvuta bangi Jamaica sio uhalifu ila Tz ni uhalifu

Mnasema mashoga wamezaliwa hivyo ndio nikasema mbona kuna watu wamezaliwa wao wanatakana ndungu kwa ndugu kwa hiyari zao, baba na mtoto, mama na mtoto, dada na kaka nk
Je waachwe tu
Kuna watu wanataka kula mizogo ya watu waliokufa je waachwe walane tu iwapo mmoja akifa na kiridhia aliwe na wenzake?

Ndio nikasema kama tutaruhusu huu uhuru wa watu kufanya chochote watakacho sababu hawadhuru wengine tutakuja kuwa na vizazi vya ajabu sana huko mbeleni
 
Hoja yangu wataelewa wale tu ambao hawana “ulemavu” wa uchoko
Machoko hawawezi nielewa, ni sawa na kumwambia mlevi eti pombe ni mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepanick vibaya, hebu angalia hicho unachokizungumzia na ku refer jambo husika. Nwei poleeeeeh sana.
 
Hiv naomba niulize kwenye mahusiano kama hayo mashoga wanaooana ni nani anamfanya mwenzake au wote wanafanyana?
Kwakua nina kiherehere ngoja nikujibu inategemea hapo Sasa. shoga au gay ni neno la jumla la wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja au wanaume wanaovutiwa kimapenzi na wanaume wenzao. Makundi yako tofauti kutokana na Interests zao Kuna wale nipe nikupe , Kuna wale wapokeaji tu na Kuna wale watoaji tu . Sasa mpaka wanaoana maana yake masharti na vigezo vimezingatiwa.
Awii tugezaa ?? 🤣🤣
 
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.

Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.

"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya ndani.

Alisema kwa sasa anaishi ukweli wake na atatumia muziki wake kupinga taasubi za kiume zenye sumu, chuki na unafiki.

Chimano hajawahi kujitokeza hadharani kama mpenzi wa jinsia moja ingawa hapo awali aliwahi kuonekana na wapenzi wa kiume.

Tamko hilo la hadharani linaweza kuwa kupiga jeki juhudi za kupigania haki za watu wa jamii ya LGBT nchini Kenya, ambapo mapenzi ya jinsia moja yameharamishwa na yanaweza kuadhibiwa kwa hadi miaka 14 jela.

Reference: Sauti Sol singer Chimano hailed in Kenya for coming out as gay

View attachment 2038928
Mhhh nguo gani hiyo
 
Kwakua nina kiherehere ngoja nikujibu inategemea hapo Sasa. shoga au gay ni neno la jumla la wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja au wanaume wanaovutiwa kimapenzi na wanaume wenzao. Makundi yako tofauti kutokana na Interests zao Kuna wale nipe nikupe , Kuna wale wapokeaji tu na Kuna wale watoaji tu . Sasa mpaka wanaoana maana yake masharti na vigezo vimezingatiwa.
Awii tugezaa ?? 🤣🤣
Duh?
 
Ni hatua muhimu na bora sana kuishi ndani ya uhalisia wake.
Hongera sana chimao, piga kelele kwa chimao wake,weuweeeeeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna uhalisia gani hapo?, wakati hilo ni dume zima kabisa na mindevu yake, ni dume kabisa hilo, yani apakuliwe na kuliwa kama mwanamke, afuu wee useme uhalisia, kuna uhalisia gani hapo?

au ugumu wa maisha ndo unawapelekea watu kujikuta washajiingiza ushogani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyo ana ugumu gani wa maisha? Nwei atajua yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom