Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Unajificha kwenye mgongo wa serikali kutochukua hatua kwenye ishu ya utekajiHuu uhalifu wa kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajificha kwenye mgongo wa serikali kutochukua hatua kwenye ishu ya utekajiHuu uhalifu wa kawaida
Waraia walitoa taarifa hizi usemazo kuhusu Mafwele mkuu kuna kilichofanywa?“Polisi ni jamii na jamii ni polisi.” tushirikiane na vyombo vya ulinzi na usalama kutoa taarifa na tushirikiane kufichua uovu unaoendelea.
Tutabaki tunailaumu polisi kila siku kwani wao ni wapiga ramli kua fulani leo atauwawa?
Kama n hapana bhasi sisi ndio wenye taarifa na hawa watenda maovu ni wana jamii wenzetu
Inayoharibika ni Tanzania
Nyie kwa akili zenu mnadhani usalama ukihitirafu wanapaswa kufa ni wapinzani tu?Huyu kijana hajihusishi na siasa wala mambo ya uanaharakati na kazi yake ni afisa usafirishaji a.k.a bodaboda.
Kifo ni kifo tu (somebody nipeni namba yake nimpigie)Aisee huu upuuzi utaisha kama wananchi tutaamua na sio siasa/chama kikiamua.
Focus sasa hivi ni kuwapiga Wananchi watakaoandamanaMasime atakuja na FUTUHI kwamba aliuliwa na mganga.
Wananata na biti.vibaka,majambazi na waporaji ni wazi sasa wanatumia upepo wa kutekana kufanya matukio yao
balaaa mkuuWananata na biti.
SAMIA HUJAMSIKILIZA“Polisi ni jamii na jamii ni polisi.” tushirikiane na vyombo vya ulinzi na usalama kutoa taarifa na tushirikiane kufichua uovu unaoendelea.
Tutabaki tunailaumu polisi kila siku kwani wao ni wapiga ramli kua fulani leo atauwawa?
Kama n hapana bhasi sisi ndio wenye taarifa na hawa watenda maovu ni wana jamii wenzetu
Inayoharibika ni Tanzania
SAMIA HUJAMSIKILIZA“Polisi ni jamii na jamii ni polisi.” tushirikiane na vyombo vya ulinzi na usalama kutoa taarifa na tushirikiane kufichua uovu unaoendelea.
Tutabaki tunailaumu polisi kila siku kwani wao ni wapiga ramli kua fulani leo atauwawa?
Kama n hapana bhasi sisi ndio wenye taarifa na hawa watenda maovu ni wana jamii wenzetu
Inayoharibika ni Tanzania
Kwahiyo pkpk waiicha?Password ya simu huwezi hamisha, lakini bodaboda hana salio kubwa la kufanya atekwe. Pili wangekua na shida sana ya pesa wangebeba hiyo pikipiki
Ndie yy.Huyu si ndo kafiwa na babaake?
Kwani ukijishughulisha na siasa ndio uuwawe?View attachment 3101087
Pichani ni kijana aitwaye Aziz Alumini Njombi wa huko wilaya Nanyumbu.
Huyu kijana hajihusishi na siasa wala mambo ya uanaharakati na kazi yake ni afisa usafirishaji a.k.a bodaboda.
Mnamo tarehe ya jana yaani 19/9/2024 alitekwa na mtu aliyembeba kama abilia ila inasemekana hakuwa abilia bali mtekaji.
Baadaye usiku wa kuamkia leo watekaji walipiga simu kwa mke wake wakitaka password ya simu ya mumewe.
Ila baadaye hao watekaji walimuua na leo maiti yake imeokotwa.
NB. Jeshi la polisi nchini, kutokana na kadhia hii ya utekaji raia ovyo hata vibaka, majambazi, wezi na kila muarifu wanatumia mbinu ya kuteja na kuua.
Kwa sababu inaonekana tayari ni njia iliyohararishwa wkt si kweli, ikiwa nyie ndiyo wenye jukumu la kuwalinda raia kisheria basi tunaomba ulinzi.
Vinginevyo mruhusu sasa raia wajilinde katika hali yoyote.
CC. Nawasilisha.
= abiriaView attachment 3101087

Unasubiria ruhusa ya kujilinda kutoka kwa nani?View attachment 3101087

si tayari walisha ua!Yaani watekaji wanapiga simu kuulizia password??