Mwingine Auawa; Jeshi la Polisi Fanyeni Uchunguzi na Mtupe Taarifa.

Waraia walitoa taarifa hizi usemazo kuhusu Mafwele mkuu kuna kilichofanywa?
 
Huyu kijana hajihusishi na siasa wala mambo ya uanaharakati na kazi yake ni afisa usafirishaji a.k.a bodaboda.
Nyie kwa akili zenu mnadhani usalama ukihitirafu wanapaswa kufa ni wapinzani tu?
 
Naishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye michezo ya Judo,Kombat,Karatee na masho art, Tai kondo na Kunfuu na kuipa kipaumbele kama michezo mingine mfano mpira wa miguu kwa raia wake ili iwe sehem ya kuji defence zaidi hasa katika maswala mazima ya utekaji, uvamizi wa vibaka na makundi mengine hatarishi kwa raia mmoja mmoja ili kupunguza hizi lawama kwa jeshi letu la polisi itasaidia hii michezo faida moja wapo ya hii michezo anayekuja kwa nia ya kukujeruhi anakipata pata na wakati mwingine atawataja na walio mtuma, binafsi naipenda sana hii michezo napia huwa inasheria zake...mfano usichokoze, usiitumie kufanya uhalifu ni kwa ajili ya self defence na kuweka mwili kuwa mkakamavu.Michezo hii ilikuwepo kwa miaka ya 1990 sijui ilipotelea wapi lakini pia inaweza kutumika hata kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa....
 
SAMIA HUJAMSIKILIZA
 
SAMIA HUJAMSIKILIZA
 
Kwani ukijishughulisha na siasa ndio uuwawe?
 
= abiria
= mhalifu
 
Unasubiria ruhusa ya kujilinda kutoka kwa nani?


Amka kulishakucha.kila mtu alinde Roho yake kadri awezavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…