Mwingine Auawa; Jeshi la Polisi Fanyeni Uchunguzi na Mtupe Taarifa.

Simfahamu, Ila nadharia tu bodaboda hawezi kuwa na pesa za kufanya atekwe., Lakini password ya simu haifanyi uweze ku-access miamala. Pia nimesema kama walihitaji sana hayo wangeondoka na pikipiki
Analysis makini
 
Tujiepushe na wake za watu, waume za watu, biashara haramu, dhuluma na kufuatilia yasiyotuhusu.
Ukiishi hivyo huwezi kutekwa
 
Wewe ni mjinga sana kwahiyo mtu akijihusisha na siasa ndio atekwe afe mtoa mada shenzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ