Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

nyanidume,
kweli wewe inaonesha ni nyani, mbona hujiangalii??? unamcheka mwenzio makalio wewe hujioni??? wewe ulizaliwa hapo ulipo au wewe huna ibaada yeyote?? kama una ibaada basi na wewe ni "Cha...doa" pia kwani ulikuwa mahali fulani sasa upo hapo ulipo. Siungi mkono lugha chafu kutoka kwenye kinywa cha huyo mpakwa mafuta wa Bwana ila naomba Mungu ampe hekima na maarifa apate maneno yaliyo kolea munyu..
 

Mleta mada umeenda kusali au ku spy,inaonekana upo kikazi zaidi.
 
Kua kiongozi wa dini haimaanishi upewe blank cheque ya kufanya utakacho, or immune to regular back-ground check, hasa ikizingatiwa kua historia ya viongozi wa dini wengi wa kula kwene miambari hata vile visivoliwa. Mi nadhani kama huyu jamaa ana wasiwasi wa kufuatiliwa ina maana anayo mambo mengi ya giza ambayo hataki watu wayatanabahishe hadharani, basi kwa msingi huu hana tofauti na akina Sultan Mangungu et al.
 
Kaka kw hivo leo umeenda kanisani kumwabudu Mungu na kusikiliza neno la Mungu ama ukijuwa JF , asa kwa staili hii ya kuwa ibadani unatoka unaingia JF unarudi tena unaingia JF eeh utaacha kuitwa spy kaka pamoja na hilo tushirikishe basi na Ujumbe wa neno la Mungu uliopata huko!!
 
Ila huu utitili wa makanisa unatuchanganya,kila siku anaibuka mtumishi mpya na hoja zake mpya na hapa ndipo nakubali usemi wa mjomba kuwa "MILUZI MINGI HUMPOTEZA MBWA"...na KAKOBE kaishia wapi?nijulisheni wanajukwaa.
 
Nasoma neno kupitia Ipad yangu mkuu napia lazima ninukuu point maalumu kwenye hii Ipad yangu, hivyo najaribu kushare na familia yetu ya JF. Kuwa na amani hapa ni upako tupu mkuu

kama umepost kwa mema xawa lakn kama kwa mengnne
 
Ndugu issue si imani uliyozaliwa nayo, bali imani sahihi yenye kufuata amri za MUNGU ndani ya BIBLIA TAKATIFU na imani ya YESU pekee.
Kumb. mzazi hata beba dhambi ya mtoto wala mtoto dhambi ya mzazi. Take it mr/mis/ms
 
huyo atakua TISS.
 

duh! mkuu,uhuru wa kuabuduha haaa
 

Aisee tuheshimiane yaani mimi niifanyie kazi serikali wanayokula kucha na meno??????
 

Una aleji na wakaka nini? Au jina la baba ni Suzy?
 

Nimekupendaje mkuu tatizo hauko single lol
 
Last edited by a moderator:

ww ndio mshenzi kabisa kuliko huyo mchungaji maana wakati wa ibada ulitoka kutuma meseji nn? unajua maana ya ibada kweli? pia aliposema kuna spy ndio wewe ndio maana imekuuma hata kutushirikisha sisi ushenzi wenu maana mchunguji anaandaa neno kwa ajili ya kondoo zake ni wale tu walioenda kuhudhuria ibada pale si vinginevyo. sie tuna kilio chetu huku cha kupigwa bomu kanisani na ndugu zetu kututoka wewe unatueleza ya kwenu huko alikutuma nani uende kama sio muumini wake amekosea angekucharaza bakora ndio ungekoma kutangatanga kama kuku wa kienyeji. pole ndugu zangu wa arusha na wote mliofikwa na janga hili kwa namna moja au nyingine. usalama wa taifa inawezekana wamesindikiza baba yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…