Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

nyanidume,
kweli wewe inaonesha ni nyani, mbona hujiangalii??? unamcheka mwenzio makalio wewe hujioni??? wewe ulizaliwa hapo ulipo au wewe huna ibaada yeyote?? kama una ibaada basi na wewe ni "Cha...doa" pia kwani ulikuwa mahali fulani sasa upo hapo ulipo. Siungi mkono lugha chafu kutoka kwenye kinywa cha huyo mpakwa mafuta wa Bwana ila naomba Mungu ampe hekima na maarifa apate maneno yaliyo kolea munyu..
 
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena

Mleta mada umeenda kusali au ku spy,inaonekana upo kikazi zaidi.
 
Kua kiongozi wa dini haimaanishi upewe blank cheque ya kufanya utakacho, or immune to regular back-ground check, hasa ikizingatiwa kua historia ya viongozi wa dini wengi wa kula kwene miambari hata vile visivoliwa. Mi nadhani kama huyu jamaa ana wasiwasi wa kufuatiliwa ina maana anayo mambo mengi ya giza ambayo hataki watu wayatanabahishe hadharani, basi kwa msingi huu hana tofauti na akina Sultan Mangungu et al.
 
Kaka kw hivo leo umeenda kanisani kumwabudu Mungu na kusikiliza neno la Mungu ama ukijuwa JF , asa kwa staili hii ya kuwa ibadani unatoka unaingia JF unarudi tena unaingia JF eeh utaacha kuitwa spy kaka pamoja na hilo tushirikishe basi na Ujumbe wa neno la Mungu uliopata huko!!
 
Ila huu utitili wa makanisa unatuchanganya,kila siku anaibuka mtumishi mpya na hoja zake mpya na hapa ndipo nakubali usemi wa mjomba kuwa "MILUZI MINGI HUMPOTEZA MBWA"...na KAKOBE kaishia wapi?nijulisheni wanajukwaa.
 
Nasoma neno kupitia Ipad yangu mkuu napia lazima ninukuu point maalumu kwenye hii Ipad yangu, hivyo najaribu kushare na familia yetu ya JF. Kuwa na amani hapa ni upako tupu mkuu

kama umepost kwa mema xawa lakn kama kwa mengnne
 
Wewe uliyeko huko kwa Mwingira umefuata nini?nani kakutuma utuhabarishe mambo ya huko?
Hili dhehebu lisilo rasmi ndilo limewapumbaza wengi,wameacha madhehebu yao walikozaliwa leo wanatanga na njia,kazi kuwapelekea pesa akina Mwingira waneemeke ilhali kwao pangu pakavu tia mchuzi.Nikichukua madaraka nchi hii nitabadilisha katiba mara moja,madhehebu yasiyo rasmi yote nitayafutilia mbali,wakafufuane wenyewe huko na si kutapeli nguvu kazi ya taifa,vijana wengi wameacha kulima kazi kucheza sebene.
Ndugu issue si imani uliyozaliwa nayo, bali imani sahihi yenye kufuata amri za MUNGU ndani ya BIBLIA TAKATIFU na imani ya YESU pekee.
Kumb. mzazi hata beba dhambi ya mtoto wala mtoto dhambi ya mzazi. Take it mr/mis/ms
 
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
huyo atakua TISS.
 
Wewe uliyeko huko kwa Mwingira umefuata nini?nani kakutuma utuhabarishe mambo ya huko?
Hili dhehebu lisilo rasmi ndilo limewapumbaza wengi,wameacha madhehebu yao walikozaliwa leo wanatanga na njia,kazi kuwapelekea pesa akina Mwingira waneemeke ilhali kwao pangu pakavu tia mchuzi.Nikichukua madaraka nchi hii nitabadilisha katiba mara moja,madhehebu yasiyo rasmi yote nitayafutilia mbali,wakafufuane wenyewe huko na si kutapeli nguvu kazi ya taifa,vijana wengi wameacha kulima kazi kucheza sebene.

duh! mkuu,uhuru wa kuabuduha haaa
 
Katika kudhiriisha uapako wa Mungu unazidi kuenea kila sehemu mtumishi na mpwaka mafta mch Mwingira akiwa kwenye mahubiri Mungu akamuonyesha kuna lijamaaa limekuja kumspy katika mahubiri akasema nakwambia weweee doont waste ur tym here;jamaa gafula akakasirika na kutoka nje na kuanza kuandika jf yale yanayommwagilkia ;sasa Mtumishi anasema anatangaza moto wa Yesu kumshukia na sasa naona anazidi kuhangaika kwenye mtandao;Mungu wangu na maombi yangu Mungu akusamehe wewe ulietumwa

Aisee tuheshimiane yaani mimi niifanyie kazi serikali wanayokula kucha na meno??????
 
Kaka kw hivo leo umeenda kanisani kumwabudu Mungu na kusikiliza neno la Mungu ama ukijuwa JF , asa kwa staili hii ya kuwa ibadani unatoka unaingia JF unarudi tena unaingia JF eeh utaacha kuitwa spy kaka pamoja na hilo tushirikishe basi na Ujumbe wa neno la Mungu uliopata huko!!

Una aleji na wakaka nini? Au jina la baba ni Suzy?
 
Moc moc BASIASI.. Mbona waja juu kama moto wa kifuu..? Sijaona ubaya wa Suzie kugawana na sie hayo yafundishwayo na nabii na mtume Mwingira.. Ukitilia maanani Mwingira huyu ndo alieuziwa mashamba makubwa huko mikoani na serikali hii ambayo anainanga sasa..

Nimekupendaje mkuu tatizo hauko single lol
 
Last edited by a moderator:
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena

ww ndio mshenzi kabisa kuliko huyo mchungaji maana wakati wa ibada ulitoka kutuma meseji nn? unajua maana ya ibada kweli? pia aliposema kuna spy ndio wewe ndio maana imekuuma hata kutushirikisha sisi ushenzi wenu maana mchunguji anaandaa neno kwa ajili ya kondoo zake ni wale tu walioenda kuhudhuria ibada pale si vinginevyo. sie tuna kilio chetu huku cha kupigwa bomu kanisani na ndugu zetu kututoka wewe unatueleza ya kwenu huko alikutuma nani uende kama sio muumini wake amekosea angekucharaza bakora ndio ungekoma kutangatanga kama kuku wa kienyeji. pole ndugu zangu wa arusha na wote mliofikwa na janga hili kwa namna moja au nyingine. usalama wa taifa inawezekana wamesindikiza baba yetu.
 
Back
Top Bottom