Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadai alienda Israel waziri mmoja wa Israel alimwambia akili yake ni nzuri sana akamshauri aje agombee urais lakini akamjibu kuna mtu anatoka cheo cha juu na kugombea cha chini? Anamaanisha Muingira anacheo cha juu zaidi ya rais.
Hii yaweza kuwa comment ya Mwingira mwenyewe au mtu wa Efatha!!binadamu akishashiba ugali anakuwa na matatizo sana...lakini kumbuka MUNGU ataleta hukumuni kila neno (every vain word spoken)...enyi wa uzazi wa kishenzi, endelea kupindisha ukweli na kusema uongo , kama baba yenu ibilisi!
Imani bila matendo imekufa!!!Sintahukumu. Naendelea kumwomba Mungu. Kwakuwa nina hakika hakuna lililofichika ambalo halitajulikana katika kizazi hiki. Endeleeni kubishana na kutetea msiyoyajua.
Injili imehubiliwa!!!
Faida ipo Mbele za Mungu!!!
Mtu akifanya dhambi mwambie kuwa hiyo ni dhambi hata kama yeye na wafuasi wake watachukia!!
Askofu Msaidizi mimi sikutoa ushuhuda wowote niliquote statement za King Cobra kwa ajili ya kumjibu, rejea uhakikishe ili uwe na uhakika unachokipost kabla ya kukurupuka tu.
Wakorintho wa pili, sura ya 5, msitari wa 17 nanukuu: Mtu akiwa ndani ya Kristo Yesu ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya. Anayepinga Mtume na Nabii J.E. Mwingira kuwa siyo mtumishi wa Mungu aoneshe kazi zake (huyo mpingaji) anavyotumiwa na Mungu ili wafuasi wa Mwingira wamfuate. Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe! Maana ya EFATHA ni FUNGUKA. Mnamchukia Mwingira kwasababu anawaambia ukweli ili mfunguke (mpone), hamtaki kufunguka then mnakasirika na kumtukana. Watanzania mtaponaje? Nchi hii itaponaje ikiwa mnaambiwa muache ufisadi na ushirikina hamtaki? Umaskini utaondoka vipi? Umwagaji damu isiyo na hatia je? Watu wa Ninawi na mfalme wao (nchi aliyotumwa Nabii Yona kuhubiri) walikuwa na akili kuliko ninyi mnaokataa maonyo maana wao neno la Mungu lilipo wafikia kupitia Yona walitubu na kuacha njia zao mbaya (Mambo ya Nyakati wa pili sura ya 7, msitari wa 14) lakini ninyi watumishi wa Mungu wanaowaijia mnawatukana. Naihurumia Tanzania, dalili za kuanza kupotea kwa amani nchini ni matokeo ya laana inayosababishwa na kutosikia sauti ya Mungu na kuwapiga mawe (kuwatukana) watumishi wake. OLE WAKE TANZANIA ISIPOTUBU!!!
Hiyo comment ni kiswahili lakini wewe una comment kwa lugha nyingine !!!Wisdom is the principal thing. Therefore get wisdom. And in all your getting, get understanding. Pr 4:7
Wisdom is the right application of knowledge (what you know). You have wrongly applied it. May you be forgiven for what you have done. It may possibly take you decades to know that you have been used by an enemy to propagate his message. Am VERY sorry for you. May the Lord give you a discerning spirit.
Maneno haya yalipaswa yaelekezwe Kwa Mwingira anaye zini na Mke wa Mchungaji wake!!! Ni Utume gani unaweza kumkuta mtu akiwa na Kahaba???Wisdom is the principal thing. Therefore get wisdom. And in all your getting, get understanding. Pr 4:7
Wisdom is the right application of knowledge (what you know). You have wrongly applied it. May you be forgiven for what you have done. It may possibly take you decades to know that you have been used by an enemy to propagate his message. Am VERY sorry for you. May the Lord give you a discerning spirit.
Wakorintho wa pili, sura ya 5, msitari wa 17 nanukuu: Mtu akiwa ndani ya Kristo Yesu ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya. Anayepinga Mtume na Nabii J.E. Mwingira kuwa siyo mtumishi wa Mungu aoneshe kazi zake (huyo mpingaji) anavyotumiwa na Mungu ili wafuasi wa Mwingira wamfuate. Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe! Maana ya EFATHA ni FUNGUKA. Mnamchukia Mwingira kwasababu anawaambia ukweli ili mfunguke (mpone), hamtaki kufunguka then mnakasirika na kumtukana. Watanzania mtaponaje? Nchi hii itaponaje ikiwa mnaambiwa muache ufisadi na ushirikina hamtaki? Umaskini utaondoka vipi? Umwagaji damu isiyo na hatia je? Watu wa Ninawi na mfalme wao (nchi aliyotumwa Nabii Yona kuhubiri) walikuwa na akili kuliko ninyi mnaokataa maonyo maana wao neno la Mungu lilipo wafikia kupitia Yona walitubu na kuacha njia zao mbaya (Mambo ya Nyakati wa pili sura ya 7, msitari wa 14) lakini ninyi watumishi wa Mungu wanaowaijia mnawatukana. Naihurumia Tanzania, dalili za kuanza kupotea kwa amani nchini ni matokeo ya laana inayosababishwa na kutosikia sauti ya Mungu na kuwapiga mawe (kuwatukana) watumishi wake. OLE WAKE TANZANIA ISIPOTUBU!!!
Hizi Habari ni za 2013 sasa tutajua wanaomsema Magufuli vibaya walikuwa watu wa aina ganiKuna ile Kampuni ya FUNGUKA SECURITY ambayo inamilikiwa na Mwingira ndiyo ilipanga njama za kuwateka Walinzi wa Kiwanda cha jirani na kuwafunga Kamba baada ya kuwatesa chini ya uongozi wa Mwingira kwa Kikao kilichofanyika Kibaha.
Neno hilo linatumika na Mwingira ijapokuwa yeye si mtu wa Kwanza kutumia Bible kufanya uchafu!!
Upo usemi anao wadanganya akina mama kuwa akifanya zinaa na mtume anapata baraka !!!
Huyu bwana ni muhubiri wa dini ya aina gani? Akapime kwanza DNAHaya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
Mshenzi tuHuyu bwana ni muhubiri wa dini ya aina gani? Akapime kwanza DNA
Maneno haya yalipaswa yaelekezwe Kwa Mwingira anaye zini na Mke wa Mchungaji wake!!! Ni Utume gani unaweza kumkuta mtu akiwa na Kahaba???
Hajaanza Leo kuuza ngada? Huyo ni wa kitambo sanaMwingira hajanza leo