Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

binadamu akishashiba ugali anakuwa na matatizo sana...lakini kumbuka MUNGU ataleta hukumuni kila neno (every vain word spoken)...enyi wa uzazi wa kishenzi, endelea kupindisha ukweli na kusema uongo , kama baba yenu ibilisi!
 
Anadai alienda Israel waziri mmoja wa Israel alimwambia akili yake ni nzuri sana akamshauri aje agombee urais lakini akamjibu kuna mtu anatoka cheo cha juu na kugombea cha chini? Anamaanisha Muingira anacheo cha juu zaidi ya rais.

hahahahaha!! the guy he is seriously loosing it ! ... anahitaji msaada
 
binadamu akishashiba ugali anakuwa na matatizo sana...lakini kumbuka MUNGU ataleta hukumuni kila neno (every vain word spoken)...enyi wa uzazi wa kishenzi, endelea kupindisha ukweli na kusema uongo , kama baba yenu ibilisi!
Hii yaweza kuwa comment ya Mwingira mwenyewe au mtu wa Efatha!!
Hili neno (red) litawapeleka pabaya mtoto wa Nyoka ni nyoka !!!
Transfer of spirits
 
Sintahukumu. Naendelea kumwomba Mungu. Kwakuwa nina hakika hakuna lililofichika ambalo halitajulikana katika kizazi hiki. Endeleeni kubishana na kutetea msiyoyajua.
Imani bila matendo imekufa!!!
Ukisha omba na Uzinzi uka anikwa unapaswa kuchukua hatua !!!
Kuanikwa kwa uzinzi wa Mwingira ni matokea ya Maombi ya watakatifu wengine na sio wewe unaye ng'ang'ani dhamba kama mke wa Ruth!!!!
 
Wakorintho wa pili, sura ya 5, msitari wa 17 nanukuu: Mtu akiwa ndani ya Kristo Yesu ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya. Anayepinga Mtume na Nabii J.E. Mwingira kuwa siyo mtumishi wa Mungu aoneshe kazi zake (huyo mpingaji) anavyotumiwa na Mungu ili wafuasi wa Mwingira wamfuate. Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe! Maana ya EFATHA ni FUNGUKA. Mnamchukia Mwingira kwasababu anawaambia ukweli ili mfunguke (mpone), hamtaki kufunguka then mnakasirika na kumtukana. Watanzania mtaponaje? Nchi hii itaponaje ikiwa mnaambiwa muache ufisadi na ushirikina hamtaki? Umaskini utaondoka vipi? Umwagaji damu isiyo na hatia je? Watu wa Ninawi na mfalme wao (nchi aliyotumwa Nabii Yona kuhubiri) walikuwa na akili kuliko ninyi mnaokataa maonyo maana wao neno la Mungu lilipo wafikia kupitia Yona walitubu na kuacha njia zao mbaya (Mambo ya Nyakati wa pili sura ya 7, msitari wa 14) lakini ninyi watumishi wa Mungu wanaowaijia mnawatukana. Naihurumia Tanzania, dalili za kuanza kupotea kwa amani nchini ni matokeo ya laana inayosababishwa na kutosikia sauti ya Mungu na kuwapiga mawe (kuwatukana) watumishi wake. OLE WAKE TANZANIA ISIPOTUBU!!!
 
Injili imehubiliwa!!!
Faida ipo Mbele za Mungu!!!
Mtu akifanya dhambi mwambie kuwa hiyo ni dhambi hata kama yeye na wafuasi wake watachukia!!

Wisdom is the principal thing. Therefore get wisdom. And in all your getting, get understanding. Pr 4:7

Wisdom is the right application of knowledge (what you know). You have wrongly applied it. May you be forgiven for what you have done. It may possibly take you decades to know that you have been used by an enemy to propagate his message. Am VERY sorry for you. May the Lord give you a discerning spirit.
 
Suzie ujue ushuhuda alioutoa Mnyasambo unapaswa kuufikiria pia,,,Mwingira ana karama gan hadi yesu amfate GUEST,???Yaan hilo tu unapaswa kuwaza mara mbilimbili...
Yesu amfate akiwa na harufu ya pombe,yupo na kahaba,hehehee
jaman achen masikhara na dini hizi,,,,,

Askofu Msaidizi mimi sikutoa ushuhuda wowote niliquote statement za King Cobra kwa ajili ya kumjibu, rejea uhakikishe ili uwe na uhakika unachokipost kabla ya kukurupuka tu.
 
Wakorintho wa pili, sura ya 5, msitari wa 17 nanukuu: Mtu akiwa ndani ya Kristo Yesu ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya. Anayepinga Mtume na Nabii J.E. Mwingira kuwa siyo mtumishi wa Mungu aoneshe kazi zake (huyo mpingaji) anavyotumiwa na Mungu ili wafuasi wa Mwingira wamfuate. Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe! Maana ya EFATHA ni FUNGUKA. Mnamchukia Mwingira kwasababu anawaambia ukweli ili mfunguke (mpone), hamtaki kufunguka then mnakasirika na kumtukana. Watanzania mtaponaje? Nchi hii itaponaje ikiwa mnaambiwa muache ufisadi na ushirikina hamtaki? Umaskini utaondoka vipi? Umwagaji damu isiyo na hatia je? Watu wa Ninawi na mfalme wao (nchi aliyotumwa Nabii Yona kuhubiri) walikuwa na akili kuliko ninyi mnaokataa maonyo maana wao neno la Mungu lilipo wafikia kupitia Yona walitubu na kuacha njia zao mbaya (Mambo ya Nyakati wa pili sura ya 7, msitari wa 14) lakini ninyi watumishi wa Mungu wanaowaijia mnawatukana. Naihurumia Tanzania, dalili za kuanza kupotea kwa amani nchini ni matokeo ya laana inayosababishwa na kutosikia sauti ya Mungu na kuwapiga mawe (kuwatukana) watumishi wake. OLE WAKE TANZANIA ISIPOTUBU!!!

Kwenye maelezo yote ya Mwingira hakuna mahali popote ambapo anasimulia kuwa alitubu dhambi na kama alifanya hivyo ni nani aliyemwongoza sala ya toba???

Wokovu unakuja na toba na malipizo !!!!
Unaweza kuwadanganya watu lakini hutafanikiwa kufanya hivyo kwa watu wote!!
Huwezi kumusemea Mwingira tabia yake ya kale bado ipo na hijawahi kuondolewa.
Amefanya zinaa na Mke wa Mchungaji kule Rukwa wakati anakwenda kuangalia Shamba .Mkewe Eliakunda ndiye aliyemfumania .Kesi zime endeshwa kwa siri lakini vikao vikavuja!!!
Usiwafanye watu kuwa wapumbuvu kwa uzinzi wa Mwingira
 
Wisdom is the principal thing. Therefore get wisdom. And in all your getting, get understanding. Pr 4:7

Wisdom is the right application of knowledge (what you know). You have wrongly applied it. May you be forgiven for what you have done. It may possibly take you decades to know that you have been used by an enemy to propagate his message. Am VERY sorry for you. May the Lord give you a discerning spirit.
Hiyo comment ni kiswahili lakini wewe una comment kwa lugha nyingine !!!
Vipi upo bado Efatha ????
 
Wisdom is the principal thing. Therefore get wisdom. And in all your getting, get understanding. Pr 4:7

Wisdom is the right application of knowledge (what you know). You have wrongly applied it. May you be forgiven for what you have done. It may possibly take you decades to know that you have been used by an enemy to propagate his message. Am VERY sorry for you. May the Lord give you a discerning spirit.
Maneno haya yalipaswa yaelekezwe Kwa Mwingira anaye zini na Mke wa Mchungaji wake!!! Ni Utume gani unaweza kumkuta mtu akiwa na Kahaba???
 
Wakorintho wa pili, sura ya 5, msitari wa 17 nanukuu: Mtu akiwa ndani ya Kristo Yesu ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya. Anayepinga Mtume na Nabii J.E. Mwingira kuwa siyo mtumishi wa Mungu aoneshe kazi zake (huyo mpingaji) anavyotumiwa na Mungu ili wafuasi wa Mwingira wamfuate. Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe! Maana ya EFATHA ni FUNGUKA. Mnamchukia Mwingira kwasababu anawaambia ukweli ili mfunguke (mpone), hamtaki kufunguka then mnakasirika na kumtukana. Watanzania mtaponaje? Nchi hii itaponaje ikiwa mnaambiwa muache ufisadi na ushirikina hamtaki? Umaskini utaondoka vipi? Umwagaji damu isiyo na hatia je? Watu wa Ninawi na mfalme wao (nchi aliyotumwa Nabii Yona kuhubiri) walikuwa na akili kuliko ninyi mnaokataa maonyo maana wao neno la Mungu lilipo wafikia kupitia Yona walitubu na kuacha njia zao mbaya (Mambo ya Nyakati wa pili sura ya 7, msitari wa 14) lakini ninyi watumishi wa Mungu wanaowaijia mnawatukana. Naihurumia Tanzania, dalili za kuanza kupotea kwa amani nchini ni matokeo ya laana inayosababishwa na kutosikia sauti ya Mungu na kuwapiga mawe (kuwatukana) watumishi wake. OLE WAKE TANZANIA ISIPOTUBU!!!

Kuna ile Kampuni ya FUNGUKA SECURITY ambayo inamilikiwa na Mwingira ndiyo ilipanga njama za kuwateka Walinzi wa Kiwanda cha jirani na kuwafunga Kamba baada ya kuwatesa chini ya uongozi wa Mwingira kwa Kikao kilichofanyika Kibaha.

Neno hilo linatumika na Mwingira ijapokuwa yeye si mtu wa Kwanza kutumia Bible kufanya uchafu!!
Upo usemi anao wadanganya akina mama kuwa akifanya zinaa na mtume anapata baraka !!!
 
Hizi Habari ni za 2013 sasa tutajua wanaomsema Magufuli vibaya walikuwa watu wa aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikuwa washenzi Sasa hivi NI mashetani[emoji1787][emoji1787].
Efatha bank ilifirisiwa
 
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
Huyu bwana ni muhubiri wa dini ya aina gani? Akapime kwanza DNA
 
Maneno haya yalipaswa yaelekezwe Kwa Mwingira anaye zini na Mke wa Mchungaji wake!!! Ni Utume gani unaweza kumkuta mtu akiwa na Kahaba???

Wafuasi wake ndio wajinga kama wanakubaliana na ushenzi huo na bado wanaenda kumsikiliza

Kama ni hivyo basi hana tofauti na David Koresh ambae alianzisha huduma na kuwa na wafuasi ambao baadae wakawa wanakulana bila kuchagua yaani yeyote unamla hata mtoto wako

Ilitokea Waco, Texas na waliuwawa wote na jeshi la huko kwa Amri ya Rais

Ilikuwa fedheha kubwa ila walimalizwa ili asitokee mshenzi kama David tena
Ila naona kuna watu huwa wanawaogopa sana na kuwanyenyekea watu kama hao mpaka inakuwa too late amepitia mpaka mama zao
 
Back
Top Bottom