Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Kuuliza siyo ujinga! Unaweza tu ukanifahamisha bibie! Sasa unataka wote tuwe wa mjini kama wewe!! Mimi naongelea katika uhalisia! Mmachinga kumiliki hati ya kusafiria.
Tuliza mpasuko dada! Utapata stress bure!
Komenti ya kipumbavu kabisa..,..Amechukuliwa usiku wa manane na watu waliojitambulisha kwamba ni askari ambao walikataa kutoa vitambulisho, sasa kwa nini wanafamilia walisubiri siku nne? Kwanini hawakuanza kufuatilia usiku huo huo? Siku hizi kuna simu za mkononi Je, walianza hizo pilika pilika na kuuliza?
Post ya Zito inaonyesha kwamba TISS wanahusika, Je, anao ushahidi?
Cha ajabu kipi hapo? kwani kuwa machinga ina maana wewe huna direction? hujui kama kuna kwenda hija?
Machinga ana hati ya kusafiria..! I wish ningeishika hiyo hati niangalie mihuri... Then ndio tutajua machinga kweli au lah na ana la kueleza au lah..
Umeeleweka. Poleni sana kwa kupotelewa na ndugu yenu Mwinyi Mkuu. Malumbano kati yetu hayatasaidia chochote.
Kwani hati ya kusafiria kuwa nayo hadi uwe na kampuni 10?Machinga ana hati ya kusafiria..! I wish ningeishika hiyo hati niangalie mihuri... Then ndio tutajua machinga kweli au lah na ana la kueleza au lah..
Ni mfanya biashara ndogo ndogo (machinga), aliyeweza kumiliki hati ya kusafiria (passport), alijitunza na kula vizuri ndio sababu bado alionekana kijana.Mbona picha yake inaonekan ni kijana then mmesema ni mzee.
Ofcoz kwa eneo kama tandahimba atakuwa alikuwa na movements nyingi hadi msumbiji, so ilibidi awe nayo tu.Ni mfanya biashara ndogo ndogo (machinga), aliyeweza kumiliki hati ya kusafiria (passport), alijitunza na kula vizuri ndio sababu bado alionekana kijana.
Temea mate chini, na muombe Mungu lisije likakukuta jambo la kusingiziwa kwenye jinai/terroristmbona kama mfuasi wa ISIS
Vikosi maalumu hawavai nguo za askari..hili suala hata Mzee Mwanakijiji aliwahi kulitahadharisha jeshi la Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama.
..kumezuka tabia ya Polisi kuvaa nguo za kiraia, kubeba silaha za kivita, na kutekeleza majukumu ya jeshi la Polisi.
..Utaratibu huo mpya ndiyo unaotoa mwanya wa kufanyika hayo yaliyomtokea mhusika anayedaiwa na Zitto kuwa ametekwa na wanausalama.
..Itafika mahali wananchi watashindwa kutofautisha kati ya Polisi na majambazi.
Mtwara kuna magaidi ? DuhUkute kuna harufu ya kuhusika na hao magaidi wanaotesa watu na kuwaua huko Mtwara!