Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Wanausalama sio machizi.
Ninachoamini ukiondoa issue zinazohusu siasa wakikuweka kwenye target basi wewe ni mtu hatari. Tusianze tu kuwalaumu maafisa usalama bila kujua huyu mtu ana mtandao gani?
Kesi zingine si za kupelekwa mahakamani ni za kumaliza juu kwa juu kwa afya ya Taifa